magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,340
Siku ya 8 tangu kuzaliwa.Je ni umri gani sahihi wa kumtahiri mtoto

Siku ya 8 tangu kuzaliwa.
Jamani mimi ni yuleyule kijana nilieomba ushauri kuhusu tohara, matokeo niliyopata wengi walisema ni niende kutahiri, sahivi nimeshafanyiwa tayari nipo tu napumzika.
Sasa naombeni tena ushauri wenu nitumie nin ili niweze kupona kwa haraka zaidi, na hints zingine zozote ninazoweza zifanya, alafu dokta kasema amenitahiri Masai style" sijajua ndio nini hii.
Msaada tafadhali
Really? mkuu niko serious
Zipo proecedure nyingi inafanywa kwa mtoto hata wa siku tu inapona haraka zaidi, hii inafanywa hospitalini tu. Ni kama clip/band inabana ngozi inaanguka yenyewe. No blood loss or anything.
Jamani mimi ni yuleyule kijana nilieomba ushauri kuhusu tohara, matokeo niliyopata wengi walisema ni niende kutahiri, sahivi nimeshafanyiwa tayari nipo tu napumzika.
Sasa naombeni tena ushauri wenu nitumie nin ili niweze kupona kwa haraka zaidi, na hints zingine zozote ninazoweza zifanya, alafu dokta kasema amenitahiri Masai style" sijajua ndio nini hii.
Msaada tafadhali
masai style hutavaa ndom. da inabidi uwe mwaminifu sana!
Je ni umri gani sahihi wa kumtahiri mtoto