Sawa mkuu nimekusoma vyema,Ajiamini, awe na sifA za kijinga kwa kifupi ajisifie smtm, awe mbishi tu kila kitu hs akiwa na mwanamke, asisifiwe wanawake kbs Labda da da zake nyumban, maamuzi yake 80 % yawe hapna, asichekecheke ovyo yaan ukifany hivo hautatongoza kila unapoenda utasikia lzm upate demu wa 2 had 3 wanajileta ucheshi na usafi ni mhm na mwisho usimpe demu ht sh kumi kama hujamgonga na siku zote behave km una mademu wengi wanakutaka hivyo huna shida na demu, ukiwa hivo wanawake watajua tu wakikuona wenyewe wanajileta huitaji ht hela
duuuh,kubabeki...huu ushauri,mkuu we ni mganga wa kienyeji nini!ushauri umekaa kimatunguli sna huu.Mwambie awe King 'ang'anizi aache ujinga atongoze hata mara tatu, ikishindikana aende baharini azame ndani ya maji akiwa uchi kisha akojoe huku akinuia kupata mwanamke
haaahaaduuuh,kubabeki...huu ushauri,mkuu we ni mganga wa kienyeji nini!ushauri umekaa kimatunguli sna huu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]huyo atakua na nyota ya upadri
Natumaini alimpaMpe dadaako!
Nina rafiki yangu kipenzi sana ambaye tumetoka nae mbali sana, huyu jamaa huwa analia na kuumia sana kwa tatizo kubwa moja, anadai kuwa hapendwi na wasichana lakini hajui ni kwanini.
Jamaa ni msafi sana, anatupia kama kawaida na pia ni handsome kiasi chake ila kinachomsibu ni kuwa jamaa ni bingwa wa kukataliwa na wasichana siku zote kila akirusha voko anachomolewa.
Ingawa ni mpole na hana shobo wala masifa ya kijinga, mimi nashidwa hata cha kumshauri.
Tafadhalini wakuu nisaidieni ushauri juu ya huyu jamaa yangu nini afanye ili kuondokana na tatizo hilo hasa ushauri wa kisaikolojia.
Pengine anakibamia au ni mdhaifu kwenye uwanja wa fund seremalaKuna mtu namfahamu... Alipeleka posa 10 sehemu tofauti kwa nyakati tofauti na zote amekataliwa...
Na yupo vizuri tu kiuchumi na kimuonekano...
Huyo rafiki yako atakuwa na laana.. Itakuwa kuna jambo baya alishawahi fanya...