Ushauri: Hapendwi na wasichana

wadada wanapendaga story za kufurahi za uwongo na kweli. Ila achanana issue iyo mwambie kaza buti hari mbaya, wanawake ibilisi tu hawana cha ziada. Wewe ndie mwenye akili mshauri busara.
Labda walioko katika ukoo wako
 
Google shemeji.....niko poa na huku ni kwema shem lake miss you sana yani.
......miss you more shem!ila usiwaze shem lake,i'll hug you in my prayers all night tonight!
...msalimie jirani,ujumbe wake ntakupa kesho!
 
wadada wanapendaga story za kufurahi za uwongo na kweli. Ila achanana issue iyo mwambie kaza buti hari mbaya, wanawake ibilisi tu hawana cha ziada. Wewe ndie mwenye akili mshauri busara.
Sawa mkuu nimekuelewa sana,
 
......miss you more shem!ila usiwaze shem lake,i'll hug you in my prayers all night tonight!
...msalimie jirani,ujumbe wake ntakupa kesho!
Wooow thank you shem lake be Blessed .....hahahaa jirani hayupo jamani
 
Wooow thank you shem lake be Blessed .....hahahaa jirani hayupo jamani
...ooooopsss!..leo ntalala kama mzungu.,na mchupa mkubwa wa whiskey kitandani!
...lots of love and kisses shem wake mie!
 
Mkuu,
Sijaelewa unataka kumshauri katika anga IPI na hujatueleza katika kukataliwa huko anapungukiwa na nini, mkee au rafiki wa kukata kiu? Kama ni wa kuu atembelee maeneo kama Corner Bar, Sinza. Meridian K'nondoni hata hapo kwa Mbowe shida yake itakuwa imeisha. Kama ni mambo ya mke aombe Mungu maana wanasema mke huletwa na Mungu.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Sawa mkuu nimekupata vyema.
 
Sokon hapajuii? Wanapopatikana wakila beiii bila kuongea chochoteee
 
...ooooopsss!..leo ntalala kama mzungu.,na mchupa mkubwa wa whiskey kitandani!
...lots of love and kisses shem wake mie!
Thank you so much shemdarling, much love to you na makiss mengi mengi yakufikie
 
Labda huwa anawatokea wadada ambao si wa aina yake.kama mvaa jeans na T-shirt basi aende kwa wavaa vijeans au kama ni pasinaa mkanda nje aende kwa wadada wavaa suti magauni ya vitengee halafu akiwa anatongoza ajaribu kuweka wekundu wa msimbazi kkt mfuko wa wa shati zionekane aone kama atakataliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…