Ushauri: Hapendwi na wasichana

Mkuu Huyo Jamaa Yako Ana Nyota Ya Bundi Mwambie Aje Huku Mtaani Kwetu Anisaidie Kukwangua Vocha Maana Wake Za Watu Na Akina Dada Wananifuata fuata Wanataka Nitoke Nao Kimapenzi ... Wiki Iliyopita Nilimuelezea Mtumishi Wa Mungu Mambo Yanayonisibu Mtaani Akadai Ukiona Mwanaume Anapendwa Sana Na Wanawake Ujue Huyo Ana Nyota Ya Ukimwi ...
 
Kama anatatizo la harufu ya mdomo ina mdisqualify coz hakuna mwanaume au mwanamke anapenda mwenzi wake awe hvo faragha inakuwa shida bro..
Ok ntamdodosa kwa hilo ikiwa ndo tatzo ntakutafuta kwa msaada zaid,
 
....hahahahahaha..shemeji,"mboni ichafukapo jicho huwa mashakani...,ni mbali we ulipo na sijui u-hali gani!....."
kwa hisani ya Q-Chilla!
Ningekua na mabawa ningeruka kama ndege unipooze moyo wangu unipoozeeeeeeeee hahahaaaa.....shkamoo shemejiii
 
Ha! ha! kupendwa unatakiwa uwe intelligence. Usidhani kupendwa unapendwa tu! na pamba zako za KTM mbagala. Nakumbuka wakati nasoma secondary nilikuwa napendwa kweli class hadi ikifika pindi wik end nikawa nachukia , yaani hii bichwa ilikuwa full charged alafu mtoto yupo climax ktk love wakati huo boy nipo top katika class. Yaani nilikuwa nanata sana class halafu nilikuwa sio HB kivile ila nilikuwa nasaidia kidogo.
 
Sawa mkuu nimekuelewa,
 
Ningekua na mabawa ningeruka kama ndege unipooze moyo wangu unipoozeeeeeeeee hahahaaaa.....shkamoo shemejiii
....hahahahahaha...shemeji umegelezea wapi,mi nikajua unajua Lupela tu!
...marhaba shem lake mie...habari za wewe na za huko!
 

Jamaa yako inaonyesha anasoma, angekuwa hasomi asinge kataliwa. Jaribu kuw komedy unaweza fanikiwa.
 
Ni kweli anasoma pia sometmes ni kauzu ntamueleza kuhusu hilo,

wadada wanapendaga story za kufurahi za uwongo na kweli. Ila achanana issue iyo mwambie kaza buti hari mbaya, wanawake ibilisi tu hawana cha ziada. Wewe ndie mwenye akili mshauri busara.
 
Muongo huyo amepitia madanguro mangapi? Au huko kuna wanaume siku hizi...
 
....hahahahahaha...shemeji umegelezea wapi,mi nikajua unajua Lupela tu!
...marhaba shem lake mie...habari za wewe na za huko!
Google shemeji.....niko poa na huku ni kwema shem lake miss you sana yani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…