Ukikua utanielewa.
Tunakimbilia gari za low fuel consumption kwa ajili ya umaskini lakini ni gari ambazo huwezi kujivunia kuwa una gari ya mazingira yote.
Hizo ni gqri za lami tu.
Nyingi zina injini ndogo sana.
Kama ni gari ya kutembelea kwa Tshs 60Mil namshauri anunue Toyota Harrier 4WD New model, yenye chini 50,000 km ya mwaka kati 2014 na kuendelea; Utanishukuru
Kama ni gari ya kutembelea kwa Tshs 60Mil namshauri anunue Toyota Harrier 4WD New model, yenye chini 50,000 km ya mwaka kati 2014 na kuendelea; Utanishukuru
Bwana Yesu mtoto wa Mungu mwenye kila kitu mbinguni na dunia aliishi dunia miaka 33 bila gari, Baba yake ana kila kitu, wewe wasiwasi wako ni nini hasa? Si tumeambia hapa duniani tunapita? Wewe kula vizuri hili ndo la muhimu ongea na watu vizuri😊😁
Sawa duniani tunapita ndio,
Lakini hakikisha na hivo vitu vinapitia na kwako ndio hii kauli iwe valid.
Unauliza Mfilisiti unasema nini????
Yes hakikisha vinapitia na kwako.
Yesu hakua fukara maandiko yanatanabaisha hili.
Yesu Kupanda tu farasi kwa kipindi hicho ilikua ni moja ya usafiri wenye Gharama sana.