Geita wapo wanaofanya madili kwenye migodi wana gari luxury sana na wana gari za kazi sana. Naona kwenye bango la mtoa mda lipo na taarifa zipo kati kati.. hajasema ni ya matembezi au ni ya kazi..
Huyo msukuma tunaweza kumuuzia hata corola kwa million 60 tunachofanya tunaivalisha sticker za Lamborghini alaf inayobaki tunagawana unaonaje hilo wazo?