Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
Starlet
mkuu achana na kabisa na kitu inaitwa jeep kwanza imetulia kwa mwendo ndo yenyewe,hiyo ni ni gari ya ulaya huwezi fananisha na gari za mjapani
Buku 7fc mna shida kweli, kumbe hata thread huwa hamsomi mnaanza kubwabwaja, ni wapi humu alipouliza Carina au ist?
Sasa hapa umeshauli nini?
mkuu achana na kabisa na kitu inaitwa jeep kwanza imetulia kwa mwendo ndo yenyewe,hiyo ni ni gari ya ulaya huwezi fananisha na gari za mjapani
Dah, mkuu hii gari nzuri, tatizo kwenye kona kali haichelewi kuachia barabara ukiwa kwenye speed! hapo bado prado jembe!
Buku 7fc mna shida kweli, kumbe hata thread huwa hamsomi mnaanza kubwabwaja, ni wapi humu alipouliza Carina au ist?
mkuu bei ya jeep ina range sawa na tshs ngapi kwa sasa?
![]()
nimeipenda sana ilivyo!