Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri: Form six kwa matokeo yangu. Tree point 16

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ngarambe, May 1, 2012.

 1. n

  ngarambe Senior Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimepata three ya 16 hist E, kis E, na engl S. Gs S. Naomba ushauri kama naweza kupata chuo au la
   
 2. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 749
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Dogo hii case yako ngumu kweli kweli,ukifanya masihala mpaka wakili anafungwa.
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,900
  Likes Received: 573
  Trophy Points: 280
  We ualimu unakuhusu.
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 24,531
  Likes Received: 3,465
  Trophy Points: 280
  Utapata Zoom Poly Tech. collage.
   
 5. m

  mtznunda Senior Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ungekuwa sayansi dogo ungepata chuo kwa arts dah cjui
   
 6. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,150
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa matokeo haya nakupa pole kwani sidhani kama lilikuwa lengo lako.
  Chuo cha ualimu utapata
  OTIS
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 7,940
  Likes Received: 2,460
  Trophy Points: 280
  Labda ujilipie ada mwenyewe chuo chochote au uende ualimu utapata haraka tu!!
   
 8. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Afu matatizo mengine mnajitakiaga tu, asa we ulikuwa HKL afu umepata hiyo unategemea nini? Nenda diploma ya uwalimu sasa.
   
 9. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,676
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Omba tumaini university, arusha university, st augustine au st john

  Unaweza kupata nafasi huko maana hao ndio wanaobeba masalia, ila nakuomba usijaribu UDSM. utapoteza mwaka mwingine mtaani
   
 10. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nenda OPEN UNIVERSITY utapata Nafasi bila tabu tena utasoma degree usiwe na wasi wasi dogo au pia Diploma ya Records Management ila ujilipie. Kumbuka Open University ni ya kujilipia. Thanx.
   
Loading...