mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,028
Mmh wapo wengi tu dadaSidhani kama mtu anaweza kuanzisha mchezo bila chanzo cha mapato ila tunakuwa tumekwama tu kupata
Chanzo ni kuomba
Mmh wapo wengi tu dadaSidhani kama mtu anaweza kuanzisha mchezo bila chanzo cha mapato ila tunakuwa tumekwama tu kupata
Hapo sawaKama hana chanzo basi wewe ndio chanzo chake
Bingwa wa familia wewe..Wakuu habari. Dada angu tunashare mama amekua ananiomba sana pesa sio kwamba sipendi but imekua too much sana. Akiwa hana pesa ya vikoba sijui michezo yao wanajua wenyewe lazima anichek nitampa anaweza sema nimkope but huwa simdai imeisha hyo.
Ameolewa na ana wtt wa2 Ila cha kushangaza shemej yangu yupo vizuri anafanyia kazi Taasisi kubwa tu huko chugga. Yeye kama yeye ana biashara zake za saloon zinamwingizia pesa.
Nawaza mimuulize pesa anazopata kwenye busn anafanya nn au shem hatoi matunzo? Naona kama haitakuwa sawa, honestly yeye ndo anatakiwa kunisave dg lake yeye kama yeye maisha katoboa tyr.
Nipeni ushauri hapa bandugu.
Wakuu habari. Dada angu tunashare mama amekua ananiomba sana pesa sio kwamba sipendi but imekua too much sana. Akiwa hana pesa ya vikoba sijui michezo yao wanajua wenyewe lazima anichek nitampa anaweza sema nimkope but huwa simdai imeisha hyo.
Ameolewa na ana wtt wa2 Ila cha kushangaza shemej yangu yupo vizuri anafanyia kazi Taasisi kubwa tu huko chugga. Yeye kama yeye ana biashara zake za saloon zinamwingizia pesa.
Nawaza mimuulize pesa anazopata kwenye busn anafanya nn au shem hatoi matunzo? Naona kama haitakuwa sawa, honestly yeye ndo anatakiwa kunisave dg lake yeye kama yeye maisha katoboa tyr.
Nipeni ushauri hapa bandugu.
Bingwa wa familia wewe..
Sasa nawe mjaribu kwa kumtest!!! Mwambie kuwa umekwana na upo hatarini ( hospital kwa matibabu au upo Polisi unadaiwa..nk nk) Say naomba pesa kama 1m !!
Hapo ndo utajuwa sura na moyo wa sista!!
Ukitaka kufa masikini endekeza hayo mambo ya kutoa toa, wana kamsemo kao,'unavyotoa ndio unafanikiwa' hiyo ni batili; ila Sayansi inakuambia weka akiba kwa ajili ya uwekezaji wako, na utajiri uko mbeleni kama utafanya hivyo. Kuendelea kutoa sehemu yoyote ile bila kuwa na tija ni unyonyaji.
Kutoa ni moyo.
Kama unatoa huku unasononeka haina maana.
Akiomba next time mwambie kuwa pesa zako una kazi nazo fulani. Ukirudia hivyo mara mbili tatu ataelewa kuwa hutaki ataacha kukubomu.
Ila kama una hela ya ziada kumpa dada yako sio mbaya vile anavyoshukuru ndio na wewe unapata zaidi.
Jamani kwa visa hivi wanawake watatuamiani kweli?mbona tumekuwa maboya sana, hivi hata shoo mnaziweza kweli kama tunasumbuka na kuanika self manageable issues kiasi hiki, kwani nini uombe ushauri Jambo dogo kiasi hiki?Men please let's not lose our manhood. Daah!!
Kweli kiimani huwa ukitoa ndipo ongezeko na neema hukurudia maradufu pasipo natarajio... Wazungu husema " be like a river not like reservoir "Kutoa ni moyo.
Kama unatoa huku unasononeka haina maana.
Akiomba next time mwambie kuwa pesa zako una kazi nazo fulani. Ukirudia hivyo mara mbili tatu ataelewa kuwa hutaki ataacha kukubomu.
Ila kama una hela ya ziada kumpa dada yako sio mbaya vile anavyoshukuru ndio na wewe unapata zaidi.
Mmh wapo wengi tu dada
Chanzo ni kuomba

siamini kama ni kweli, sema wanajiunga michezo isiyolingana na vipato vyao hivyo wanajikuta asilimia kubwa wanaomba. Kwamba hawana kabisa hilo nakataaili tupate hela mkuuHivi nyie wanawake, hii michezo mnayoanzisha bila chanzo cha kipato na kutegemea sie ndio tuwape hela mnakuwa na maana gani?
Tutawapa na mimba sasaili tupate hela mkuu