Ushauri: Dada yangu ananiomba sana Pesa

Ushauri: Dada yangu ananiomba sana Pesa

Hahahah ukiwa na mradi wa kukuingizia pesa huwezi kwama shida yenu mnategemea huruma zetu ME!

Unakwamaje, unakuta mtu anacheza mchezo wa 30k kila siku ila anategemea aombe ombe kwa watu hio biashara inaniboaga sana. Na unajua kabisa mtu kazi hana ila shobo zake tu kwani lazima ucheze?
Kama hana chanzo basi wewe ndio chanzo chake
 
Wakuu habari. Dada angu tunashare mama amekua ananiomba sana pesa sio kwamba sipendi but imekua too much sana. Akiwa hana pesa ya vikoba sijui michezo yao wanajua wenyewe lazima anichek nitampa anaweza sema nimkope but huwa simdai imeisha hyo.

Ameolewa na ana wtt wa2 Ila cha kushangaza shemej yangu yupo vizuri anafanyia kazi Taasisi kubwa tu huko chugga. Yeye kama yeye ana biashara zake za saloon zinamwingizia pesa.

Nawaza mimuulize pesa anazopata kwenye busn anafanya nn au shem hatoi matunzo? Naona kama haitakuwa sawa, honestly yeye ndo anatakiwa kunisave dg lake yeye kama yeye maisha katoboa tyr.

Nipeni ushauri hapa bandugu.
Ina maana wanaume wameisha tz? Mambo Mambo gani haya
 
Ndugu huwa wanapenda Sana uwasaidie pindi ukiwa na kipato, ila siku ukiyumba na ukakipoteza kile kinacho kupa kipato haohao ndo huwa wanasema alikua na kazi ila hana cha maana alicho fanya wanasahau wema wote.
Saidia unapoweza tena iwe kwenye mambo ya maana tu,, ukiona msaada unaoutoa unakufanya uumie usisite kuwajibu Sina hela
 
Mmhh acha kumjaza mwenzio upepo .. Kumsaidia mtu anaye jiweza ni baraka au ni kuangushana tu kiuchumi !?
Binafsi ninapomsaidia mtu siangalii anajiweza au hajiwezi natoa msaada pale inapohitajika
 
Wewe binadamu huwajui vizuri
Ndo maana nimekuambia ninamsaidia mtu
pale ninapoona ana sababu za kusaidiwa pasipo kuangalia kama anajiweza au la! Hata hao wanaojiweza kuna wakati wanakwama ile mbaya so siwezi kuacha kumsaidia mtu kwa sababu anajiweza.
Kwangu Mimi kusaidia kuna mibaraka sana
 
Wewe msaidiye tu, ila siku ukikwama ndiyo utamjua vizuri, na siku ukioa ukawa na majukumu yako mengi na kushindwa kumsaidia kama hivi sasa, lazima mkeo wampopoe tu na kumuona mchoyo maana kabla hujamuoa ulikuwa ATM sasa tangia umlete huyo mnyamahanga umebadilika sana.

Hakuna tabia nisiyoipenda kama yakuomba omba hovyo, sasa kama ana Mme na biashara anayo sasa umatonya wanini kwa Kaka yake!
 
Ndugu huwa wanapenda Sana uwasaidie pindi ukiwa na kipato, ila siku ukiyumba na ukakipoteza kile kinacho kupa kipato haohao ndo huwa wanasema alikua na kazi ila hana cha maana alicho fanya wanasahau wema wote.
Saidia unapoweza tena iwe kwenye mambo ya maana tu,, ukiona msaada unaoutoa unakufanya uumie usisite kuwajibu Sina hela

Kwel kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom