Ushauri bima ya afya ninayoweza kuimudu

Ushauri bima ya afya ninayoweza kuimudu

Kitumburee

Senior Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
142
Reaction score
89
kheri ya mwaka mpya wadau.

Naomba ushauri kwa anaejua bima ya afya ( isiwe ya watoto, ) ambayo ni ya gharama nafuu. nina wategemezi watu wazima wanne ila siwezi kumudu ile ya NHIF ya 1.5Mil.

Shukrani
 
Angalia Jubilee ni 174,000 kwa mwaka mke, Mme na wategemezi wawili lakini ukitaka kuongeza wengine unalipia 100,000 kwa kila mmoja hii ni kama haijabadilika
Shukran nitafanya hivyo
 
Angalia Jubilee ni 174,000 kwa mwaka mke, Mme na wategemezi wawili lakini ukitaka kuongeza wengine unalipia 100,000 kwa kila mmoja hii ni kama haijabadilika
Ina cover gharama za MRI?
 
Ndio lakini kima chake ilikua 400,000 kama haijabadilika kwa sasa

Hii ni kwa gharama za mkupuo! Au isizidi 400 k kwa kipindi gani?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kheri ya mwaka mpya wadau.
naomba ushauri kwa anaejua bima ya afya ( isiwe ya watoto, ) ambayo ni ya gharama nafuu. nina wategemezi watu wazima wanne ila siwezi kumudu ile ya NHIF ya 1.5Mil
shukran
Jiungeni kwenye vikundi.

NHIF wanatoa Bima siku hizi kwa package ya kikundi, Tsh 78,000 kwa mwaka.

Kama hupendi, nenda Jubilee au RESOLUTION.

Wana Bima za gharama nafuu ingawa ni kwa SELECTED CLINICS/HOSPITALS.
 
Jubilee kwa mtu mmoja shs ngap???,,,,,na je muhimbili na Benjamin mkapa zinakubalika???? na hizo za za vikundi bado zipo au washazifuta kwa upande wa NHIF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali imeanza kutoa bima ya CHF iliyoboreshwa kwa ajili ya matibabu ya wananchi wake hususani walio kwenye ajira isiyo rasmi au wajasiriamali. Nadhani ilikuwa na gharama ya elfu 50 kwa mwaka na 160,000 kwa familia ya watu wanne kama sikosei.
 
Kuwa na bima sio shida,,,,tunahitaji kujua hizo CHF muhimbili na Benjamin mkapa hospital zinapokelewa? Au ndo zinaiishia kwenye zahanati na vituo vya afya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elfu 30
Baba mama na watoto wanne

Back
Top Bottom