USHAURI: Biashara ya mashuka special (bed sheets) Kariakoo

Founder Tz

Member
Joined
Feb 20, 2022
Posts
47
Reaction score
129
Hello wakuu,

Nimepata idea ya business, Nafikiria kuagiza na kuuza mashuka ya quality, ukubwa na design tofauti na kuyauza kariakoo.

Niambieni, nishaurini, nikosoeni,
Je niko sawa? Mzunguko utakuwa mbovu? Au iko bomba?

Karibu
 
Kabla ya kufanya hii biashara, jiulize wewe mwenyewe, mara ya mwisho kununua shuka ilikuwa lini?
 
Lodges / Hotels / Guest Houses Wananunua Mashuka Daily. Ni biashara Nzuri Sana.

Demand bado Kubwa. Mashuka Yanachakaa Every Household needs bedsheets na sio moja au mawili.

Kuna Matajiri wanauza viatu sasa jiulize hivyo hivyo Mara ya Mwisho Mtu Kununua Viatu Lini ?? Binafsi nina pair za viatu zaidi ya 35 ndani achilia nilivyo gawa kwa watu na bado town nikikipenda kiatu nanunua.
 
Mzigo ukiwa unatoka haina shida; changamoto zilizopo maduka mengi yamekuwa stoo za bidhaa kutoka nje, kwa sababu utokaji wake ni wapolepole sana.
 
Back
Top Bottom