USHAURI: Nafikiria kufanya biashara ya mikoba Kariakoo

Hello Wadau,

Nafikiria kudeal na handbags za wadada aina tofauti sokoni kariakoo.

Kutokana na kodi kuwa kubwa za fremu nahitaji mauzo kuwa makubwa, je kwa hii idea iko sawa au itanichomesha mahindi?

Mitaa ipi ya Kariakoo inafaa kwa ajili ya biashara ya mikoba?

Na mengine mengi mtakayo niongezea nawakaribisha..
Nakupa namba ya binti wangu, akusaidie kusambaza mzigo Uswahilini kwa commission.
 
Hello Wadau,

Nafikiria kudeal na handbags za wadada aina tofauti sokoni kariakoo.

Kutokana na kodi kuwa kubwa za fremu nahitaji mauzo kuwa makubwa, je kwa hii idea iko sawa au itanichomesha mahindi?

Mitaa ipi ya Kariakoo inafaa kwa ajili ya biashara ya mikoba?

Na mengine mengi mtakayo niongezea nawakaribisha..
Na mimi ntasambaza kwa wadau wangu wa JamiiForums, tusiingiliane aisee... nsije nkakuroga bure, dumba na tunguri za Mshana Jr mimi ndiye mpishi
 
Back
Top Bottom