Kipande cha chuma kimeingia kwenye kiganja halafu Dr anakushauri hakina madhara na wewe una mkubalia mkuu wangu!? Hapa tafuta mtaalamu mwingine haraka maana kuna hatari ya kupata tetanus..Niliumia mkono nimuda sasa kipande chachuma kidogo sana kiliingia kwenge kiganja chamkono dockta akanishauri hakina madhara lakini mbona mkono unaniuna sasa maeneo ya begani ushauri jamn