Mkuu hili ni jangaUshauri wa bure jamani startimes nao washitakiwe maana haiwezekani watumie mitambo yetu ya Tbc kuweka. vifaa vyao kwa level ya terrestrial. halafu bado wanatulipisha kila mwezi
Hivi tbc wanafaidika nini kupitia startimes?
Mbona hii nchi imegeuka shamba la bibi?
Daaah aiseeee
Ni zaidi ya wiki 3,king'amuzi changu hakina sauti.Nimeenda makumbusho wamehama.Nimeenda walipohamia hadi saa 6_hawajafungua.Kwa kufuata maoni ya wengi imenibidi niweke stoo.Kiongozi kwa kipato changu kidogo,bado nachanga ninunue aina nyingine.kwann?
digitek n matapeliNi zaidi ya wiki 3,king'amuzi changu hakina sauti.Nimeenda makumbusho wamehama.Nimeenda walipohamia hadi saa 6_hawajafungua.Kwa kufuata maoni ya wengi imenibidi niweke stoo.Kiongozi kwa kipato changu kidogo,bado nachanga ninunue aina nyingine.
Tunaongelea mambo ya Taifa hapa.. Wewe unaleta uchamaa.. Acha ujuhaaa.Huu ni uchochezi,CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeee