Ushauri: Ananiumiza Tukigegedana, Natamani Kumwacha

Ushauri: Ananiumiza Tukigegedana, Natamani Kumwacha

nikikumbuka maufundi nakuwa sipo tayari kuona mwanamke mwingine anafanyiwa kama navyofanyiwa mimi, natamani awe wangu peke yangu.[emoji118][emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]hakuna haja ya kuongeza maana tiari ushajielezea kabisa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mwanamke nikitembea nae huwa analalamika tumbo linamuuma wengine mpaka bleed..
Alafu wewe mimi hamna half time naonga ishaga mechi bao tatu ndio naacha..
Wanakimbia room mpaka wanasahau chupi baada ya 2 week anakileta tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwambie aendelee kukugegeda mpaka kizazi kichomoke ndo utaridhika

I'm nothing without you GOD [emoji120]
 
Mmmh, muda mrefu ipweke? Muda gani?

Mbona mm Nina miaka 2 na.miezi 2 bila na Niko fine?
Kuepuka hill, kuwa busy hutoskia hizo hamu.

Pili kila jion piga zoezi walai usiku unalala fofofooo.

mhm!
 
Hakuumizi ila wewe huenda una dyspareunia, wewe ni mgonjwa waone madaktari kwa hilo.
 
Uko sahihi mimi mwenyewe nimeona hii. Nimetibu wagonjwa wengi sana. Na most commonly Ni gonorrhea Ndo yenye tabia hii. Mwanamke ni ngumu sana kugundulika kama ana gono. Mara nyingi ni through sex huwa wanapata maumivu makali wakati wa tendo au baada ya tendo. Kwa matibabu njoo inbox
Una STI , kapime.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom