Ushauri: Ananilazimisha nimpe mimba

Ushauri: Ananilazimisha nimpe mimba

Wewe mvulana wanaume hatuulizi vitu kama hivyo alafu uangalie majina ya kijiita
 
Kumbe Demu wako kakuona na mimba anataka umpe? Kama una mimba mpe mwenzio
 
KAMA HIYO MIMBA UNAYO..... SI UMPE??



maana tumechoka sasa... Hakuna namna nyingine
 
guys wengine kazi kweli

HOPE YOUR INNER MOST INTENTION WAS TO WRITE "GAYS" WENGINE KAZI KWELIKWELI.......tumekusikia tumekufikia na tumekuelewa.....gays wengine kazi kwelikweli.

ahahahahahahahahahaha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom