Bwana usitoe mimba ukadhuru kiumbe ambacho hakijaingia kwa baht mbaya ,xx ni bora ww uondoke hayo mazngira ili ukastay another area ili kukwepa maswal ya wazaz kuhusu hio mimba ,
Kuuuuua ni dhambi kubwa sna ni bora uzae na pia atunze hcho kiumbe kwn huend baadae kitamulea yy na babake/babuyake