Ujinga ujinga tu! Yaani kama mtu hata akili kidogo tu ya kuelewa kuwa huyu ni baba yako mdogo ni shida, utaelewa ushauri utakaopata kweli? Kama ni kweli nadhani wewe na hiyo baba yako mdogo wote mnakosa kitu fulani kichwani na rohoni.
Ningekuwa tayari kukushauri kama mada ingekuwa "baba mdogo ananitaka kimapenzi" au "navutiwa kimapenzi na baba mdogo wangu". Lakini kwa hapa ulipofika, najiweka kando kwenye kutoa ushauri.