Ushauri: Ameathirika na gonjwa la kisasa, je niendelee nae?

Wa salaam wakuu,

Nimekuwa nikimfuatilia binti fulani kwa mwaka sasa. Kusema kweli binti ni mzuri, binti akaanza kunielewa leo nimemuita ghetto akaja, ile tupo kwenye maandalizi nikashtuka kuona mtoto anatokwa na machozi, nikapoteza mood yote ya mechi. Nikamsihi aniambie tatizo nini. Ndipo akaniambia kuwa yeye ni muathirika wa gonjwa lile la kisasa akanitolea na uthibitisho wa VTC.Akaniambia kuwa ananipenda sana na ndio maana kaniambia.

Wakuu nipo dilemma, naombeni ushauri;

-Je, niendelee nae mahusiano?
-Na je kuna njia ambayo naweza fanya nae tendo bila kuambukizwa?

Natanguliza shukrani

Kwanza fikiria lengo la wewe kuwa naye lilikuwa lipi, kama ulikuwa unampenda kwa dhati basi muoe ili apate kutulia nae.
ila kama humpendi basi muache tuu ajiendee usije muumiza moyo wake, uwe rafiki yake kwani yeye alikuwa pia anaupendo wa dhati kwako ndio maana aliweza kukuambia ukweli wake...Maana kuna wengine mabandidu asingekuwambia, na wewe ukajiona kidume, ukacheza mchezo ukimaliza ndio anakuambia au asikuambie kabisa utajajua mbele kwa mbele ukicheki afya yako.

Kumwambia mwenzako kuwa uko na hali hiyo yahitaji ujasiri sana na mapenzi ya dhati na roho ya imani ya dini...Ukiwa na roho ya shetani husemi, unauchuna tuu umalize hisia zako.
 
Mkuu unakimbilia kifo? Na ina maana pia hukupanga kutumia condom siku ile?
 
Wa salaam wakuu,

Nimekuwa nikimfuatilia binti fulani kwa mwaka sasa. Kusema kweli binti ni mzuri, binti akaanza kunielewa leo nimemuita ghetto akaja, ile tupo kwenye maandalizi nikashtuka kuona mtoto anatokwa na machozi, nikapoteza mood yote ya mechi. Nikamsihi aniambie tatizo nini. Ndipo akaniambia kuwa yeye ni muathirika wa gonjwa lile la kisasa akanitolea na uthibitisho wa VTC.Akaniambia kuwa ananipenda sana na ndio maana kaniambia.

Wakuu nipo dilemma, naombeni ushauri;

-Je, niendelee nae mahusiano?
-Na je kuna njia ambayo naweza fanya nae tendo bila kuambukizwa?

Natanguliza shukrani
Mpaka leo hujui njia ambayo unaweza fanya nae tendo bila kupata maambukizi?! Aisee! Hata kama shule hukufundishwa hata elimu ya mtaani huna?
 
Kwa vile katika hii dunia msichana mzuri ni yeye peke yake lala nae, Kwa vile wewe sio Muhimu sana katika familia yenu wala huna wategemezi Lala nae, na kwa vile baba yako na mama yako hawakusumbuka mpaka kukufikisha hapo usiku muite ulale nae na kwa vile huyo MREMBO ana ya dhahabu wewe lala nae tu, AKISHA KUAMBUKIZA TUTAKUJA KUPA MAELEKEZO YA VIDONGE VIPI NI VIZURI Na tutakuwa mstari wa mbele kuwapa pole familia yako kwa usumbufu utakaowapa..
 
Wa salaam wakuu,

Nimekuwa nikimfuatilia binti fulani kwa mwaka sasa. Kusema kweli binti ni mzuri, binti akaanza kunielewa leo nimemuita ghetto akaja, ile tupo kwenye maandalizi nikashtuka kuona mtoto anatokwa na machozi, nikapoteza mood yote ya mechi. Nikamsihi aniambie tatizo nini. Ndipo akaniambia kuwa yeye ni muathirika wa gonjwa lile la kisasa akanitolea na uthibitisho wa VTC.Akaniambia kuwa ananipenda sana na ndio maana kaniambia.

Wakuu nipo dilemma, naombeni ushauri;

-Je, niendelee nae mahusiano?
-Na je kuna njia ambayo naweza fanya nae tendo bila kuambukizwa?

Natanguliza shukrani
WEWE PIGA TU--USIHOFIE!!!
 
yeye kakuonea huruma ila wewe hujionei huruma watu wengine bana!!!!!!!!!! sasa kweli hata hili ni la kukushauri kweli? wewe binafsi unaonaje kwa mfano!
 
Usimuache tumia kinga zaidi tembelea vituo vya afya kuna dawa inaitwa prep hyo ni kwa ajili ya mtu asie na maambukizi, mkikutana kwa asilimia 90 hupat maambukizi.
 
Back
Top Bottom