Ushauri: Ameathirika na gonjwa la kisasa, je niendelee nae?

Mshukuru sana Mungu wako, leo ungekuwa mojawapo la kundi la waliothirika na HIV

Mwanamke anapokukataa, muelewe wengine huwa wanania nzuri na maisha yako.

N.B
km unampenda mkuu, muone dr awashauri, na kuwa na ukimwi haimanishi ndiyo mwisho wa maisha au kutokuwa na ndoa. Unaweza hata kupata watoto wasiyo na HIV

Usimtenge wa kumnyanyapa sbb hujui kesho itakuwaje. Huyo kawa muwazi kwako, kesho utampata msiri, atakuambukiza
 
KANDAMIZA TU!
Japo wanasema hauna kinga wala tiba.....kuna wakati wanataja kondom.
Nenda kapime nae, huwezi kujua....labda na wewe ni.........
 
Una moyo,me niligundua tu demu ana mapepo nkampotezea siku hiyo hyo,sembuse ngoma.
 
Picha ya vithibitisho kwanza ndo tuendelee. Tusije kuwa tunachangia ushaur wa tamthilia ya isidingo
 
binti amekupenda kwa pendo la dhati ndo maana hakutaka kukuumiza muheshimu sana kijana pia mjali sana kwa lolote lile uwe mstari wa mbele kumsaidia maana hawa wa huku kwetu angekulia timing ya kukuumiza na kusepa tu
 
Wa salaam wakuu,
Nimekuwa nikimfuatilia binti fulani kwa mwaka sasa. Kusema kweli binti ni mzuri, binti akaanza kunielewa leo nimemuita ghetto akaja, ile tupo kwenye maandalizi nikashtuka kuona mtoto anatokwa na machozi, nikapoteza mood yote ya mechi. Nikamsihi aniambie tatizo nini.
Ndipo akaniambia kuwa yeye ni muathirika wa gonjwa lile la kisasa akanitolea na uthibitisho wa VTC.
Akaniambia kuwa ananipenda sana na ndio maana kaniambia.
Wakuu nipo dilemma, naombeni ushauri
-Je niendelee nae mahusiano
-Na je kuna njia ambayo naweza fanya nae tendo bila kuambukizwa?
Natanguliza shukrani

Umeshaambiwa bakuri lina sumu, bado unajifikiria
Kama una maziwa chovya tu hilo tonge lako ule
 
Hakuna ukimwi ni conspiracy theory ,kutishana tu kama vile suala la aliens

Mkuu jimegee tu hilo tunda ondoa hofu yoyote ,
 
Mkuu kuna kundi la wasomi wanaibuka sasa duniani wanasema hilo gonjwa 'its a myth'.. we piga tu. kila mtu atakufa bytheway....
si kweli ugonjwa hupo jamani hao nafikiri wana project ya depopulation
 
Back
Top Bottom