wambeke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 2,655
- 2,650
hata usitamani kuyajua bora ubaki hivyo hivyo tu.Mnisimulie kwa aliyesoma hadi mwisho🙁
dogo anaandika kitabu hii ni dibaji subiri kitabu utasoma
hata usitamani kuyajua bora ubaki hivyo hivyo tu.Mnisimulie kwa aliyesoma hadi mwisho🙁
Kha ni hii wekend listory lireefu la nn.. Akwendreee zake🙂🙂hata usitamani kuyajua bora ubaki hivyo hivyo tu.
dogo anaandika kitabu hii ni dibaji subiri kitabu utasoma
hivi vivulana vya humu khaaaa vinasumbua. watu na Mastress yetu dili zote zimegoma wekend inakua ndefuuuuu anakuja na dibaji zake hapaKha ni hii wekend listory lireefu la nn.. Akwendreee zake🙂🙂
UKO SAWA SANA HAPO, KIKUBWA NI KUNYOOSHA TU.Maswali yako yote 5,yanafanana!umegeuza lugha!
Wewe kama hautaki mwambie wazi,hamna namna nyingine.
1.lengo lake umf***ck ili uwe kwenye list zake nyingi
2.hajielew, nia yake mbaya
3.jibu kama #1
4.linaweza kuwa kweli pia
5.faida ni atakupa alichotaka kukupa
BTW mi naona ata ukiujua ukweli hautokusaidia lolote sana sana itakua ni maumivu kwako kama ikitokea ni kweli baba anayafanya ayo binti anayosema
Asante nimekuelewa, siwezi kufanya makosa tena mungu awe nami1.lengo lake umf***ck ili uwe kwenye list zake nyingi
2.hajielew, nia yake mbaya
3.jibu kama #1
4.linaweza kuwa kweli pia
5.faida ni atakupa alichotaka kukupa
BTW mi naona ata ukiujua ukweli hautokusaidia lolote sana sana itakua ni maumivu kwako kama ikitokea ni kweli baba anayafanya ayo binti anayosema
Hakijatoka, kitatoka kabla ya 2017Kitabu chako kinaitwaje???
ASante kwa salsa Mzee amehama pale shuleni kwa nini kinamfanya aendelee kunitaka. Mzee Wangu hajui lolote kati yetu na sidhani kama yeye alinitumia kujilinda,Nimegundua kuwa hakuna jambo la kipuuzi duniani. Kila mtu anafanya mambo yake kwa maksudi fulani.
Nirejee kwa hoja yako mleta mada. Nachukulia simulizi yako kwa uzito mkubwa. Yawezekana kabisa kuna ukweli katika hili: yaani mzee alikuwa anamtaka binti. Lakini kama ulivyosema, binti ni mtoto wa mjini, akatumia akili zake kama mtoto wa kike kuepusha shari kamili kwa kuanzisha uhusiano na wewe. Hii ilikuwa ni mbinu tu kumfanya mzee wako asiendelee kumfuatilia.
Nionavyo mimi mbinu yake ilipangwa kimkakati na ilifanikiwa. Wewe ulitumika tu kama kinga yake dhidi ya "madhara" ambayo mzee wako angesababisha (samahani kwa maneno nayo).
Kwani kutwakwa ni ajabu we dogo? Anyway usisahau kuweka hii story kweny kitabu chakoASante kwa salsa Mzee amehama pale shuleni kwa nini kinamfanya aendelee kunitaka. Mzee Wangu hajui lolote kati yetu na sidhani kama yeye alinitumia kujilinda,