Ushauri African Nazarene University Kenya

salari

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
1,922
3,415
Habari wanajamiiforums,

Nina plan za kusoma MBA-Project Management & Strategic management Kwenye hiki chuo cha African Nazarene University ambacho kipo Kenya Eneo linaitwa Ongata Rongai - Kajiado County. Naomba kufahamishwa yafuatayo

  • Je njia rahisi ya kufika Ongata Rongai kutokea Dar kwa usafiri wa basi ni ipi?
  • Je chuo hiki ni kizuri?
  • Je hoteli/Guest house/Hostel zilizopo karibu na Chuo hiki zina wastani wa bei kiasi gani kwa siku.
  • Kwa waliosoma kwenye hiki chuo naomba wajitokeze ili niwauulize mawili matatu.
 
Back
Top Bottom