Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 4,594
- 6,663
Morning.....
Nashauri tu serikali ingeweka ada kwa shule za serikali kuanzia shule za msingi na sekondari, kuliko ilivyo sasa pesa nyingi zinaenda kwa watu wachache tu na kujinufaisha wao binafsi na kushindana kucheza michezo ya upatu sehemu za kazi,
Nashauri tu serikali iweke ada hata kwa mwaka iwe laki mbili ambayo itasaidia kwa mambo madogo madogo kama mitihañi, ukarabati wa majengo, ulinzi na mambo mengine yote...
Jukumu la mzazi kuhakikisha mwanae kashiba wakati wakwenda shule ,na shule za boarding iyo ada itasaidia kwa chakula pia..
Tuache kuwanufaisha watu wachache ambao miongoni mwao wengi ndio wapo mitandaoni kuikashifu serikali