laki 3 sio mbaya, ila hope unaijua chrome os ilivyo, imekuwa designed uitumie online tu. ila ni vyema pia ujue hardware zake kuna chromebook za arm na x86.
ila habari nzuri ni kwamba hio chromebook tayari imeshapata support ya android apps hivyo utaweza tumia apps za android humo,