Dah, jamaa nimependa profile status yako aseee...
Join Date : 5th June 2009
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received
0
Likes Given
0
Safi sana mkuu:A S 41:
shukrani mkuuram 2gb na processor ni T3735 ambayo ipo familia ya baytrail. ila ukumbuke laptop hizi huwezi ku upgrade memory kama simu. ukitaka memory zaidi itabidi utumie external hdd au memory card.
mahala pa kuipata hapa tanzania am not sure wapi utaipata ila cheki maduka makubwa posta wanaosupply vifaa vya maofisi
hope unaelewa kwenye laptop za bei rahisi huwezi pata vyote perfomance na battery life. ukichagua kimoja basi kingine unakosa.
nilikuuliza juu unaweza tumia laptop yenye internal memory ya 32gb? siku hizi zipo laptop zenye 32gb zinazotumia memory za simu badala ya hdd na processor ndogo hivyo kupelekea kukaa na chaji sana. unaweza ongeza hio storage kwa memory card au external hdd. mfano asus x205
![]()
6+ cell battery .
nilishawahi kupata intel core i5 used
internal 300gb
processor 1.8ghz
ram 3gb
kwa laki 4 kamili nahifurahia mpaka sasa nina zaid ya mwaka, sema kununua used unacheza bahati nasibu kama alivosema mkuu unaweza pata yenye vitu pungufu ama yenye matatizo makubwa na ukajutia lakini ni vizur ukipata kitu brand new kwa kuongeza kuanzia kilo moja kwenda juu kutoka hapo ulipo
Hata brand new zina matatizo mkuu. Mimi nilinunua toshiba kutoka dar. Nilikuta ina tatizo la kutopunguza mwanga.
Ukiangalia kioo tu kwa dakika 1 macho yanauma.
Nilishindwa kurudisha kwa sababu niko mbali mkoani.
Mkuu hii 6 cell ni aina ya battery? Inauzwa kama bei gani?
kila unavyodhani matumizi yako ni makubwa basi mwenzako ana matumizi makubwa zaidi, na kuna laptop hadi milioni 10 kupanda juu. we unafikiri matumizi yako makubwa ni yapi? au taja software zako kubwa ni zipi then kutokea kwenye system requirement za hio software utaweza kuambiwa laptop ipi inakufaa.
Me sio mtaalam wa hzo mambo ila km yenye ram 4gb na memory isiyopungua 500gb inaweza ikawa sh.ngp
ram na hard disk visikusumbue kaka, laptop nyingi unaweza ongeza mwenyewe. unaweza pata 4gb ram na 500gb hdd kuanzia laki 5 kupanda juu. ila pc ya laki 5 yenye 4gb ram na hdd ya 500 itakuwa na processor dhaifu.
tafuta atleast i3 ya 4th generation na hi 4gb ram na 500gb hdd, niliwahi ona moja ina i3 4030u kwa laki 6 pale uhuru.
ukumbuke i3 mpya ina nguvu kuliko i5 au i7 ya zamani, i5 na i7 mpya zina nguvu zaidi. hivyo hakikisha ukinunua laptop usiangalie jina i3/i5/i7 bali angalia upya wake. na upya unaangaliwa kwa namba ya kwanza ya processor. ikiwa i3 4xxx au i3 5xxx basi ni mpya
asante kwa kunielewesha lkn hzo namba za processor si znakua zmeandkwa nje ya laptop au
hapana zinakuwa ndani, unaenda my computer una right click then properties.
alternative ni kugoogle kwa kuandika jina la processor na aina ya laptop.
mfano lenovo g510 i5
result zikija utaona g510 imekuja na processor yenye namba ipi.
jichange tena uongeze laki moja hapo. Ukiwa na laki tano tembelea pale Laptop City utapata kitu cha kueleweka sana
Hujaeka driver za graphics ndio maana haipunguzi mwanga eka full name ya laptop yako utapewa link ya driver
kaka support ya toshiba ni kimeo sana driver zao wanazificha inakuwa tabu kuzipata bila kujua region yako.Mkuu laptop yangu ni Toshiba Satellite NB10 - A986
Nitashukuru sana ukinisaidia hiyo linki mkuu
Chief-Mkwawa
kaka support ya toshiba ni kimeo sana driver zao wanazificha inakuwa tabu kuzipata bila kujua region yako.
una windows ya 64bit na processor yako ni celeron n2810?
driver zako ni hizi
https://downloadcenter.intel.com/download/23321/Intel-HD-Graphics-Driver-for-Windows-8-8-1-64-bit
kama huna windows hio au processor hio nitajie windows yako na processor yako ili nkutaftie kwenye site ya intel badala ya hao toshiba
Mkuu nina window 7
Processor: Intel (R) Celeron (R) CPU N2830 @ 2.16GHZ
Nitashukuru sana mkuu Chief-Mkwawa
hapo umedowngrade toka 8 kuja 7 so driver zote toka intel hazitafanya kazi sababu zenyewe zimetengenezwa zifanye kazi na windows 8.
hebu test hii driver utility ya intel
Intel® Driver Update Utility
install halafu open itascan pc then kama driver ipo outdated watakupa option ya kudownload
mkuu Chief-Mkwawa nimejaribu zote zimegoma. Vipi nikijaribu kupiga chini window 7 nikaweka 8 ?
Samahani kwa usumbufu lakini chief