Ushaur wa bure tu

Ushaur wa bure tu

Kakajambaz Jr

Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
59
Reaction score
13
Mapenzi kama siasa, usiposema uongo hupati kura hapendwi mtu bila kitu, anaekuita baby ndo atakaekuita babu ukifulia, jipangeni watu wangu maisha magumu na hayarudi nyuma, hakuna tuzo ya umalaya zaidi ya ukimwi.

"Acha michepuko sio dili "
 
hapo blue ndio bonge la neno...
 
Hahahaaaaaaaa! Michepuko isingekuwa dili watu wasinge chepuka!
 
Hakuna tuzo ya umalaya zaidi ya ukimwi...na tuzo ya wasiokuwa malaya ni IPI?
 
Back
Top Bottom