Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,436
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo furushi zito hataliweza [emoji38][emoji38]
Hilo furushi zito hataliweza [emoji38][emoji38]
Jamani [emoji16][emoji16][emoji16]Ni bora nijinyonge kuliko ku date aina ya wanaume wanaoandika 'penda ww xana'..!![emoji28][emoji28]
Kafurushi kadogo haka mwenza
Uzi tayari [emoji856]Kwamba Uzi wako upo tayar ...
Bado, sema soona katakuwa furushi soon[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakajawa kakubwa eeeh?
Bado, sema soona katakuwa furushi soon
Upepo umevuma kwa kasi ya ajabuunataman kumwacha mwenza anaekuumiza daily bt moyo unakua haupo tayar kbx...???
@crazyrider huyu ameandika tena eti "ahxnt"ahxnt
Utamuonea tu mwl. buree...Umri wako tafadhali!! Usisahau kunipa mawasiliano ya mwalimu wako aliyekufundisha kusoma na kuandika nina ujumbe wake [emoji52]
Mie sijambo SYB,Jamani [emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu ukapotea jumla shemeji. Hujambo?
Hayawezi kuvumilia kumuona mtu anaenda kwenye njia nyoofu lazima yatamgeuza tuVere soon maana mafurushi ya humu hayatomuacha salama, watamuharibu tu.
Sio watu wema kabisa.Hayawezi kuvumilia kumuona mtu anaenda kwenye njia nyoofu lazima yatamgeuza tu