Ushaur; Mama mkwe ananichukia.

Ushaur; Mama mkwe ananichukia.

mutahappy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
529
Reaction score
188
Npo ktk mahusiano na msichana na tuna mpango wa kufanya utambulisho lakin mama ake na binti hanitak kwa sababu kuna kijana alikuwa anampenda na alitaka amuoe binti yake lakin msichana alimkataa huyo kijana na anataka kufunga ndoa na mimi.
Nami nampenda sana.
Naomba ushaur wadau nifanye nn?
 
We unaoa mke ama mama mkwe?
Ikiwa mchuchu wako ana msimamo mama mkwe hana nafasi, nae adeal na wakwe zake kwa mumewe
 
Go on with your programs,hayo mambo yamenikuta ata mimi na maisha yanaendelea..cha msingi ni huyo binti kuwa na msimamo kila kitu kitakua sawa tu..
 
Endelea na mipango yako ya harusi, Bi dada kakuchagua wewe wala usihofu chuki ya mama mkwe wako ingawaje huwa inapendeza kuwepo na upendo kati ya mume/mke na wakwe zake. Kila la heri na baraka kwenye harusi yenu.
 
...

.......weka ndani ila tambuwa unakaa na KICHECHE!!!
 
..

...Yawezekana jamaa alikuwa anamwaga mbongo kwa mama mkwe kama mvua!!!!
 
Last edited by a moderator:
na wewe mchukie kwani unaishi na mama mkwe!! kama ni wakwetu kule anza kumpampa hela atakupenda tu...
 
KWENYE UZIA PENYEZA RUPIA...wazee wa kale walilonga
 
KAMA NJIA ZA KIDIPLOMASIA ZIMESHINDIKANA TUMIA ZA KIVITA!!!!!! Tundika kitambi tu, mama mkwe atakulamba miguu umuoe bintiye!
 
Go on with your programs,hayo mambo yamenikuta ata mimi na maisha yanaendelea..cha msingi ni huyo binti kuwa na msimamo kila kitu kitakua sawa tu..

asante mkuu kwa ushauri mzur na pole sana kwa stuation hiyo real inaumiza sana.kila la kher na mkeo
 
Npo ktk mahusiano na msichana na tuna mpango wa kufanya utambulisho lakin mama ake na binti hanitak kwa sababu kuna kijana alikuwa anampenda na alitaka amuoe binti yake lakin msichana alimkataa huyo kijana na anataka kufunga ndoa na mimi.
Nami nampenda sana.
Naomba ushaur wadau nifanye nn?

Nahisi harufuu ya mambo ya Anaufooo hapa, kama hupendwi na mama mkwe ni changamoto kubwa sana
 
KAMA NJIA ZA KIDIPLOMASIA ZIMESHINDIKANA TUMIA ZA KIVITA!!!!!! Tundika kitambi tu, mama mkwe atakulamba miguu umuoe bintiye!

Familia nyingine mimba si issue unampa mimba anambiwa zaa na sitaki uolewe na huyo jamaa
 
Nahisi harufuu ya mambo ya Anaufooo hapa, kama hupendwi na mama mkwe ni changamoto kubwa sana
Changamoto iko wapi hapo????!!!!

Ni msimamo wa binti na muoaji basi?????!!!!

Dawa ya chuki ni busara na msimamo baaas!!!!!!!
 
Muheshimu but just ignore her!!
Ukizingatia mnapendana! Binti amuelezee mamake tuu..mengine waachie wenyewe
 
Kuna wachangia mada wengine wanatia hasira! Limtu linaropoka tuu kama limetoka msukule..mtu hasomi mada akaelewa anakurupuka kama kafumaniwa na shoga!
#jiwe gizani.... Ukisikia yalaaah
 
Npo ktk mahusiano na msichana na tuna mpango wa kufanya utambulisho lakin mama ake na binti hanitak kwa sababu kuna kijana alikuwa anampenda na alitaka amuoe binti yake lakin msichana alimkataa huyo kijana na anataka kufunga ndoa na mimi.
Nami nampenda sana.
Naomba ushaur wadau nifanye nn?

Kwa hiyo unataka na mama mkwe akupende?
 
Kuna baadhi ya wazazi wqna mambo ya kizamani kweli. Achana naye.maisha ni yenu wenyewe.endeleeni na ratiba zenu fungeni haruc anzeni maisha
 
Back
Top Bottom