Usharobaro enzi zetu

hahhaha naona mamaa katilia soksi duh,ila hio fasheni hata siku hizi ipo...
 
Hi itarudi tu maana hamna stail mpya zinajirudia zilezile
 
Na ukiongezea zaidi kwamba kipindi hicho hakuna ukimwi, nywele zinachomwa kwa kipande cha chungu kuwekwa kwenye moto na kupitishwa kichwani, looooh!

eeeheee, hii nayo kali, anyway inabidi mkubali tu mabadiliko wazee wetu.
 
Comparatively, aliyepinda zaidi ni mpiga picha! mi siwezi kupiga picha watu wakipozi kwa mtindo huo..... NAONA AIBU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…