[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Heri ya pasaka kwenu, leo naleta mada nikiomba ushauri nisije pata mshindani.
Nimekua nikiwa sio mtu wa out na viwanja, nimeoa sasa shida inakuja...
Toka nimeoa, nimekua nikitaman sana nimtoe mke wangu out, tatizo langu sijui ni wapi naweza mpeleka. Nachoshukuru Mungu na yeye pia sio mtu wa viwanja, so hua nikimuuliza anataka oit aende wapi hajawahi kuniambia, nae ananiambia hajui.
Nikiwaza niende nae bar au sehem za burudani sisi wote tumeokoka, so hua sijui nitaenda kufanya nn...
Nimewahi kuwaza nimpeleke sinema (hata mm sijawahi kwenda) akakataa kwa kigezo kuwa amechoka na tunaweza rudi usiku..
Leo nimemsikia akiniambia anataka siku moja tuje twende dar tukaangalie mpira wa simba na yanga.
Hadi hapa naandika tumekaa home tunacheki liverpool vs cardiff baada ya kumalizana na man U.
Nipeni ushauri nami niwe namtoa out siku moja moja.
Hivi arusha hamnaga beach eee?
Nendeni hata madhabahu ya kanisa lingine mkafanye maombi nayo ni mtoko mtumishiHeri ya pasaka kwenu, leo naleta mada nikiomba ushauri nisije pata mshindani.
Nimekua nikiwa sio mtu wa out na viwanja, nimeoa sasa shida inakuja...
Toka nimeoa, nimekua nikitaman sana nimtoe mke wangu out, tatizo langu sijui ni wapi naweza mpeleka. Nachoshukuru Mungu na yeye pia sio mtu wa viwanja, so hua nikimuuliza anataka oit aende wapi hajawahi kuniambia, nae ananiambia hajui.
Nikiwaza niende nae bar au sehem za burudani sisi wote tumeokoka, so hua sijui nitaenda kufanya nn...
Nimewahi kuwaza nimpeleke sinema (hata mm sijawahi kwenda) akakataa kwa kigezo kuwa amechoka na tunaweza rudi usiku..
Leo nimemsikia akiniambia anataka siku moja tuje twende dar tukaangalie mpira wa simba na yanga.
Hadi hapa naandika tumekaa home tunacheki liverpool vs cardiff baada ya kumalizana na man U.
Nipeni ushauri nami niwe namtoa out siku moja moja.
😀😀😀😀😀😀Labda aende pale mto tengeru
Pako wap hapo ulipopatajaUngempeleka African tulip anakula pizza na juice akishangaa manzari sio lazima muende kwenye anasa.
Snake park, R chuga mahoteli kibao ni mwendo wa kuogelea na kupunga baridi na hewa safi uku mkitumia nyama na tuvinjwaji non-alcohol na vistori vya uongo na ukweli.Maeneo ya R chuga
Uzunguni karibu na impala.Pako wap hapo ulipopataja
hiyo kitu hamnaga arifHivi arusha hamnaga beach eee?
Haya nendeni snake parkMaeneo ya R chuga