Ushamba wake umenisaidia kumjua

Ushamba wake umenisaidia kumjua

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
Habari wadau,

Kuna mchumba wangu ambae niliona mienendo yake haifai nikaamua kumchunguza,sasa niliingia na gia ya kumtajia pasword yangu ya facebook ila email sikumwambia, nkamuuliza yako ni ipi akanambia nikaikariri fasta nkapotezea. Alivokata simu tu nikajaribu kuingiza namba yake ya simu na hiyo pasword lahaulaaaaah.Simu ikafunguka nikasoma mambo yake yote sasa sikuishia hapo nikataka nijue na wasap kuna nini.

Sasa nlichofanya nikachukua simu yake nikaunstall whatsap na nikakausha siku mbili tatu nikamuuliza vipi mbona sikuoni kule whatsap akanambia aaah baby siioni nikasema yes Golden chance nikajitoa whatsap na namba yangu nikamwambia ukitumiwa code tu embu nitumie akasema poa, nikasajili kwa namba yake akatumiwa code mi nikamuuliza akanitumia nikafungua whatsap yake paap kitu kimo humo sasa michepuko kibao yakumwaga ila sijamuacha kwakua naona ni sawa tu kwa dunia ya sasa ila nikashukuru kumjua.

Dont trust anyone just love all
 
Yaani demu sina hata future ya kumuoa anihangaishe, hakunaga!
 
Hakuna aliye mkamilifu jamani...Vitu vingine ukivichunguza sana utapunguza siku zako za kuishi.
 
kama unataka wa peke yako kanunue karoti uichonge vizuri uitunze kabatini
 
habari wadau, kuna mchumba wangu ambae niliona mienendo yake haifai nikaamua kumchunguza,sasa niliingia na gia ya kumtajia pasword yangu ya facebook ila email sikumwambia, nkamuuliza yako ni ipi akanambia nikaikariri fasta nkapotezea. Alivokata simu tu nikajaribu kuingiza namba yake ya simu na iyo pasword.... lahaulaaaaah kitu kikafunguka nkasoma mambo yake yooote sasa sikuishia hapo nikataka nijue na wasap kuna nini sasa nlichofanya nikachukua simu yake nikaunstall wasap na nikakausha siku mbili tatu nkamuuliza vipi mbona sikuoni kule wasap akanambia aaah baby siioni.. nkasema yes Golden chance nikajitoa wasap na namba yangu nkamwambia ukitumiwa code tu embu nitumie akasema poa.... nikasajili kwa namba yake akatumiwa code mi nikamuuliza akanitumia nkafungua whatsap yake paaaap kitu kimooo.... humo sasa michepuko kibao yakumwaga ila sijamuacha kwakua naona ni sawa tu kwa dunia ya sasa ila nikashukuru kumjua.... dont trust anyone just love all

Kwenye red ndipo uongo ulipoanzia mkuu,hata kama ni ushamba,siku tatu bila whtsp hasijue??
 
Kwenye red ndipo uongo ulipoanzia mkuu,hata kama ni ushamba,siku tatu bila whtsp hasijue??

Alafu mtoto Wa kike ambaye akikaa kidogo lazima awaze what's app sijui labda
 
Duh ukimuoa utapata wapi muda wa kulea familia maana unatumia muda mwingi

Siku ingine ya whatsapp kaweke link waliyotoa ufungulie kwenye desktop, itakuambia uskani bakodi tu nawe huyoooooo utasoma kila kitu ngoja nikusaidie kwa muda kama bado unataka kuenjoy kuchunguza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom