Ukimchunguza kuku hutamla...na utashanga wenzio kuku huyo huyo wanamla na kunenepa
Kwenye red ndipo uongo ulipoanzia mkuu,hata kama ni ushamba,siku tatu bila whtsp hasijue??
Sasa kuna wengine utafkiri wamesomea IT vile yaani ukisogelea simu yake tu Maskio yake yanasimama....
Sasa kuna wengine utafkiri wamesomea IT vile yaani ukisogelea simu yake tu Maskio yake yanasimama....
Mimi mtu anaekomaa na simu yangu nampa ili akaote ndoto za ajabu, presha impande ajute