Ushamba wa Supermarkets za Tanzania

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
391
873
Yaani SA au Kenya tu hapa Africa na nchi nyingi zishaacha ushamba wa kuachishwa mabegi kuingia supermarkets au malls coz kuna machines that can read kama una tishio lolote au kama supermarket ukiiba kitu which hakijanunuliwa alarm itaita but Tanzania kila sehemu kama kawa begi kuacha au kusachiwa halafu wanakuuliza kuna nini?

Kama nina nia mbaya nitasema nimeweka bomu mfuko huu?😡😡😡 sachi mwenyewe jiridhishe). Yaani mpaka nachoka nikiwaza kwenda Mlimani city au malls zingine na supermarkets zingine mpk maduka ya kawaida seem a way better option.
 
Back
Top Bottom