Hashpower7113
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,353
- 2,137
Nilikuwa naangalia habari katika kituo kimoja cha runinga, nikaona mapokezi waliyopewa popo JK na vibaraka wake kwenye kasri la Sultan huko Muscat, kilichonivutia ni jins ****** na vibaraka wake walivyokuwa wanashangaa paa la kasri la sultan! Duh! Wote walikuwa wakiinua vichwa juu bila kujali kamera zilizokuwa mbele yao. Nikagundua kwa nn viongoz wetu wanapenda kusafiri, hakuna chochote cha maana zaidi ya kwenda kushangaashangaa nchi za watu. Kwa nn na nyie msiijenge Tanganyika yenu wenzenu waje kushangaa?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Wazungu!!!? bagosha!Wazungu wakishanga wanyama wetu wao hakuna tatizo, sisi tukishangaa majumba yao balaa, wacha kasumba,ww nisehemu ya propaganda zakumchafua Jk
Nilikuwa naangalia habari katika kituo kimoja cha runinga, nikaona mapokezi waliyopewa popo JK na vibaraka wake kwenye kasri la Sultan huko Muscat, kilichonivutia ni jins ****** na vibaraka wake walivyokuwa wanashangaa paa la kasri la sultan! Duh! Wote walikuwa wakiinua vichwa juu bila kujali kamera zilizokuwa mbele yao. Nikagundua kwa nn viongoz wetu wanapenda kusafiri, hakuna chochote cha maana zaidi ya kwenda kushangaashangaa nchi za watu. Kwa nn na nyie msiijenge Tanganyika yenu wenzenu waje kushangaa?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Nilikuwa naangalia habari katika kituo kimoja cha runinga, nikaona mapokezi waliyopewa popo JK na vibaraka wake kwenye kasri la Sultan huko Muscat, kilichonivutia ni jins ****** na vibaraka wake walivyokuwa wanashangaa paa la kasri la sultan! Duh! Wote walikuwa wakiinua vichwa juu bila kujali kamera zilizokuwa mbele yao. Nikagundua kwa nn viongoz wetu wanapenda kusafiri, hakuna chochote cha maana zaidi ya kwenda kushangaashangaa nchi za watu. Kwa nn na nyie msiijenge Tanganyika yenu wenzenu waje kushangaa?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mkuu tumia akili yako kufikiri sawa sawa.Kitu kama kigeni kwako lazima ushangae wazungu mbona wanatoka Marekani Ulaya wanakuja kumshangaa Fisi anakunywa maji.
Watu wasitetee ujinga wa viongozi wetu hapa. Hii ni aibu na wala sio ufahari.
Yaani viongozi wa Tanzania wako ikulu ya Muscat wanafanya mazungumzo na mfalme wa Oman, macho na mawazo yao yako kwenye kuta na paa la ikulu ya mascat na sio kinachozunguzwa!!
Wameenda Ikulu kushangaa au kufanya mazungumzo?
Mkuu dharau ni ipi hapo?acheni kumdharau rais wetu. unajua uchaguzi ulishapita kwa nini tusimheshimu tu? ni wazo tu sikulazimishi.
Chuki utakuwa nazo wewe na wala sio sisi tunaotaka kumrekebisha rais wetu.chuki binafsi maskini