Prince of Persia
Member
- Jul 17, 2018
- 50
- 43
- Thread starter
- #21
Na ndomana wengine mnahemewa nyuma ya kichogo
FactHii ni fikra potofu chief, tunaishi kwa malengo. Lengo la kwenda chuo ni kusoma mpaka ugraduate. Ikitokea uka disco si jambo la kulichekea, kwa kuwa umepoteza muda na rasilimali nyingi sana. Kudisco unapoenda chuo haitakiwi kuwa option, iache ije tu kama matokeo baada ya jitihada za kufaulu kushindwa na si kama kitu Kilichotarajiwa.
Mi nina rafiki waliodisco japo walikuja kufanikiwa, lakini muda waliopoteza ni irreplaceable.

Sio vyuo vyote mkuu. Kuna vyuo ukiteleza kidogo tu unakuwa katika hali mbaya. Kwa hesabu za harakaharaka hadi sasa kwa kozi ninayosoma mimi hatuko na watu 150+. Hakuna kitu rahisi.Chuo kucarry ni kutaka
Hayo majigambo yataisha tu...utakua mpoleUshamba unaendana na mwaka wenyewe historia inasema darasa letu yaani standard 1 ya 2005 we are smart. Kama ushamba mliufanya wewe na wenzako sio sisi we are best class in Tanzania.
This might be a silly class ever..... Data zako umetoa wapi dogo? Ubora wa Darasa lenu uko wapi? Mapanya tu nyieUshamba unaendana na mwaka wenyewe historia inasema darasa letu yaani standard 1 ya 2005 we are smart. Kama ushamba mliufanya wewe na wenzako sio sisi we are best class in Tanzania.
This might be a silly class ever..... Data zako umetoa wapi dogo? Ubora wa Darasa lenu uko wapi? Mapanya tu nyie[/QUOTE
Data hujui zimetokea wapi sisi ndo tulianza kufanyw objective questions kwenye mtihani wa darasa la saba au umesahau? au hujui justification ya objective questions kwa watu na nchi zilizoendelea? ukweli ni kwamba miaka ya nyuma kulikuwa na tofauti sana kati ya mjini na sehemu nyingine ila sahivi tofauti ya maghorofa tu hakuna cha ajabu.
NOTE: we are the BEST class of Tanzania history.
me ni mpole since day ila sinyamazii ujinga Hahah.Hayo majigambo yataisha tu...utakua mpole
😂Sio uzembe kuna nyingine zinakuja automatic mkuu
Ushamba unaendana na mwaka wenyewe historia inasema darasa letu yaani standard 1 ya 2005 we are smart. Kama ushamba mliufanya wewe na wenzako sio sisi we are best class in Tanzania.
Hawajui haoExactly mkuu,darasa la dhahabu hili,mambo mengi huwa yanaanzia kwetu
Hahaha wivu unakupa tabu sanaThis might be a silly class ever..... Data zako umetoa wapi dogo? Ubora wa Darasa lenu uko wapi? Mapanya tu nyie
Waafrika Wakitanguliaga
Hii umeongea kweli..kuna jamaa alikuwa anakuja lecture hall na raio(zile ndala za tairi wanazofaa maasai)Nakumbuka nilupokuwa chuo first year wengi huja na nguo zao za kushonesha kama vile magauni, suti na skuna, na nywele zao wamesuka nne au tano kichwa lakini baada ya kupata boom na kujua Kariakoo na Mwenge, hiwa hawakamatiki kwa suruali na rasta za masai
Kuna watu wanawaambia chuoni bataKaribuni hivi first year waliodahiliwa na kupata vyuo mbali mbali hapa tz na kule znz wataripoti. Ila mara nyingi huwa na shobo nyingi sana wawapo vyuoni.
Tunakukumbusheni kuwa mkae mkijua huku kuna CARRY NA KUDISCO so kuweni makini
Si ujiseme tu mkuuJamaa yangu alikuja chuo na godoro na trunker.