Ushamba Ku unlock Moderm.

Ushamba Ku unlock Moderm.

malisoka

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
1,860
Reaction score
2,639
Jamani mimi ni mshamba wa Ku unlock moderm hivi kuna faida gani?? Mimi nina Airtel model ZTE 190 na ninaitumia tu ninaweza kupata faida kwa Ku unlock Tafadhari nimeisha sema sijui na ni mshamba nifahamisheni please serious!
 
kikubwa ni kwamba uki unlock modem yako unakua na uwezo wa kuweka line yoyote!
 
Asante sana mkuu ndio mana upo mzee wa Loliondo. Bye!
 
Back
Top Bottom