Ushamba au...?

Ushamba au...?

Museven

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2011
Posts
629
Reaction score
452
Hivi ni ushamba wangu au
ushorolilo wa hawa jamaa?
Unakuta mtu anaongea na
simu, namna alivyoweka simu
sikioni ndivyo sivyo. Yani
ameigeuza, sehemu ya nyuma ya simu ndio kaibandika sikioni, na si kwamba iko
kwenye loudspeaker! NO.
Imekaaje hii?
 
ndio mambo ya mujini wewe usiige utakufa na radiation ndugu yangu.weka mbali na tembo wako
 
Kuna baadhi ya simu zinskika vzr zaidi ukizgeuza!!!!
 
Hivi ni ushamba wangu au
ushorolilo wa hawa jamaa?
Unakuta mtu anaongea na
simu, namna alivyoweka simu
sikioni ndivyo sivyo. Yani
ameigeuza, sehemu ya nyuma ya simu ndio kaibandika sikioni, na si kwamba iko
kwenye loudspeaker! NO.
Imekaaje hii?
Wakati mwingine kwa hizi simu za kisasa (touch sceen) sikio linavyogusa screen unaweza jikuta umekata simu au kumweka mtu on hold bila kukusudia. Hata hivyo sina hakika kama wote wanaogeuza ni kwa sababu hiyo ama la. Binafsi sipendi kugeuza (hata kama ni touch screen), ni kuwa makini tu namna unavyoiweka sikioni.
 
Nafikiri hapa bwana Yoweri Mbuyi Twite Kaguta Tata Museveni utakuwa unazungumzia simu aina ya Nokia Torch. Simu hizi ukizigeuza mbele nyuma ndio unapata kuisikia vizuri,kutoka na speaker yake inasikika vizuri kwa nyuma.
 
aisee umenisoma kbs. Au na ww unayo ya aina hiyo? Kweli, niliowaona walikuwa na Nokia Torch. Asante kwa majibu bomba
 
Ndio simu yangu maridhawa mkuu. Nokia Torch haijawahi kunifanya nitembee na chaji Kama kabwela. Inamudu kukaa na chaji kwa muda mrefu. Na kwenye giza tochi huwa ina msaada mkubwa. Wanaotumia Nokia Torch watanielewa.
 
Nafikiri hapa bwana Yoweri Mbuyi Twite Kaguta Tata Museveni utakuwa unazungumzia simu aina ya Nokia Torch. Simu hizi ukizigeuza mbele nyuma ndio unapata kuisikia vizuri,kutoka na speaker yake inasikika vizuri kwa nyuma.

basi labda walikosea kutengeneza spika.
 
Wakati mwingine kwa hizi simu za kisasa (touch sceen) sikio linavyogusa screen unaweza jikuta umekata simu au kumweka mtu on hold bila kukusudia. Hata hivyo sina hakika kama wote wanaogeuza ni kwa sababu hiyo ama la. Binafsi sipendi kugeuza (hata kama ni touch screen), ni kuwa makini tu namna unavyoiweka sikioni.

touch screen wapi bwana!

Wengine unakutana naye ana ile chapa Mshindi jamaa eti kaigeuza! Yaani haya ni maajabu. Hawajui kwamba wanafyonza radiation yote!! Hawa nao hawana tofauti na wale wanaokumbatia simu yote kwa kiganja chooote kabisa yaani unakuta kisimu kimefunikiwa mpaka huwezi kukiona sasa hapo sijui wanasalimika kweli??

Tuache upumb...vu bwana!!!
 
Back
Top Bottom