Ushaidi wa picha,hali ya dr.slaa kimikutano ni mbaya,anaswa akiagiza jeshi la polisi lisikae mbali

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000

Taswira mbalimbali za mkutano wa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa alioufanya jimboni kwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe jimboni Kigoma Kaskazini ambapo mkutano ulikosa watu kabisa na kujikuta peke yake kama picha zinavyojionyesha.
Pia amepatwa na fedhea baada ya kudanganywa kuwa kunamkutano kata ya KIDAHWE,Licha ya fedha ya maandalizi ya Mkutano zaidi ya laki tano.lakini Slaa alifika eneo la mkutano na kukuta hakuna kitu,fedha zimeliwa na wannachi wapo bize na kazi za maendeleo.Akina Pera walipofika na gari yaa M4C waliishia kupigiana simu kuulizana kulikoni.Pole sana Slaa kwa dhahama unayoendelea kukutana nayo.

KUTOKA POLICCM HADI POLISCHADEMA HAPA CHINI LEO KIGOMA

Watanzania naomba pia tujifunze huu Unafiki wa Slaa,Huyu ndiye anakimbia kwenye MEDIA na kuhema hana imani na Jeshi la Polisi,hataki kulindwa na Jeshi la Polisi eti Nguvu ya Umma inamlinda,Huyu Slaa ndiye anasema Polisi wa Tanzania wanafanya kazi ya CCM,Hizi Picha ni ushahidi tosha kuwa NJIA YA MNAFIKI NI FUPI SANA,LEO ANAWAPIGIA MAGOTI polisi wamsaidie asipate kipigo kutoka kwa Nguvu ya Umma aliyokuwa anasema inamlinda.Hongereni sana JESHI la Polisi kwa Kutekeleza majukumu yenu bila kujali CHAMA,Hawa wanasiasa wanatukana mamba wakati hawajavuka Mto 

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
653
225
Mpiga picha makusudi alidhamiria kupiga picha zitakazopotosha uma. Hili linajithibitisha katika picha ya kwanza na ya pili kwani huwezi piga picha pembeni ukiacha watu wengine wamekatwa katika picha.

Katika picha ya tatu mpiga picha amekaa mbele kama si second line ya wanaohutubiwa akapiga picha anayotaka yeye ioneshe hadhira iliyohudhuria mkutano.

Hata kudanganya kunahitaji kuwa smart enough kuliko unaowadanganya, kwani unaowadanganya wakigundua kww facts kuwa unawadanganya mdanganyaji hugeuka na kuonekana mpu.mbavu/mjing.a
 
ng`wana ong`wa kulwa

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
2,421
1,500
Mwambie na Zitto aje Arusha kama atapata kama hao,hata hivyo Slaa ni jembe pamoja na mvua hii hawakusambaa,hata hivyo hako ka kijiji ulitegemea upate watu wa ngapi?
 
Heaven on Earth

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
37,139
2,000
Mpiga picha makusudi alidhamiria kupiga picha zitakazopotosha uma. Hili linajithibitisha katika picha ya kwanza na ya pili kwani huwezi piga picha pembeni ukiacha watu wengine wamekatwa katika picha.

Katika picha ya tatu mpiga picha amekaa mbele kama si second line ya wanaohutubiwa akapiga picha anayotaka yeye ioneshe hadhira iliyohudhuria mkutano.

Hata kudanganya kunahitaji kuwa smart enough kuliko unaowadanganya, kwani unaowadanganya wakigundua kww facts kuwa unawadanganya mdanganyaji hugeuka na kuonekana mpu.mbavu/mjing.a

tuwekee ambazo hazipotoshi umma basi mkuu
 
Henge

JF-Expert Member
May 14, 2009
6,939
2,000
nani hafurahi? Mimi ninachofanya nikuweka picha ata kama ingekuwa kwa ccm ningeweka,sifungamani na upande wowote,wala sijawai kupiga kura

hapa mkuu ndo unafanya kosa kubwa sana tafadhali badilika mkuu kachague viongozi wako tusipate magalasa.
 
jnuswe

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,270
1,195
Mnajadili ujinga wa huyo mtu mtoa post hiyo, mianvuli inaonekana na hali ya mvua ndo hiyo anategemea watu wajae kwenye mikutano huo upuuzi
 
nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
7,818
2,000
Kumbukeni hii ndio tz bana ..mrema pia yupo.....lipumba nae yupo....tlp,na cuf pia zipo dont forget nccr mageuzi nayo ipogo......
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,308
2,000
Jeshi la polisi na usalama wa taifa wanafanya mipango ya niniuwa maneno ya Dr.Slaa leo hii yeye ndiyo amekuwa wa kwanza kuomba msaada kwa jeshi la polisi, hakuna kitu kibaya kama ulaghai wa kisiasa anaofanya Dr.Slaa.
 
Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,674
2,000
Jeshi la polisi na usalama wa taifa wanafanya mipango ya niniuwa maneno ya Dr.Slaa leo hii yeye ndiyo amekuwa wa kwanza kuomba msaada kwa jeshi la polisi, hakuna kitu kibaya kama ulaghai wa kisiasa anaofanya Dr.Slaa.

Slaa ni mnafiki sana na ni muuaji! Ana siasa za ulaghai mkubwa sana, anachotaka yeye ni madaraka tu! Mtu afe,aumizwe, ateseke yeye hayamuhusu! Huyu kutunza wanakondoo wa Mungu kashindwa ndio ataweza kutunza rasilimali kweli huyu? Kama Padri hamuogopi Mungu,muumba mbingu na nchi,atamuogopa nani sasa? Ni balaa kumshabikia Slaa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom