Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,171
- 18,881
Piga chini huyo hafai kuwa mke wako
Wakuuu Asanteni sana kwa mawazo yenu yote
Leo ngoja niwape mrejesho kwenye maamuzi niliyofikia
Tulikaa kikao na mke wangu kwa ajili ya kufanya maridhoani. Nankukumbushana wajibu wetu katika familia.
Tulikaa kama wiki tatu tu then nikagundua ana urafiki wa Karibu sana na rafiki yangu wa Karibu ndipo nikaanza kufanya shanting nijue ni mahusiano ya namna gani. Baada ya wiki moja nikagundua Wana mawasiliano ya kimapenzi
Nikamuuliza mke wangu akakataaa katukatu
Then nikamuuliza rafiki yangu akasema walikuwa wanachat kiutani.
Kusema niliumia sana kutokana na Yale niliyoyaona
Nilirudi kwa mke wangu tukagombana sana kuhusu Lile swala
Baada ya hapo niliamua kusahau Kila kitu sababu alikiri haitajirudia tena na pia tuna bond ya mtoto
Tulikaaa wiki moja tu akaniomba pesa ya mafuta na kusuka. Kiukweli nilishangaa sana sababu ni matumizi makubwa sana ambayo hakuwa nayo mwanzoni
Nilimpatia 40000 then nikamwambia nitampatia baada ya siku moja
Hapo ugomvi ulikuwa mkubwa saba sababu alitaka Hela yote,tena aliongea maneno mengi sana ya kunikasfu.
Baada ya hapo tulimalizana kimjini mjini
Japo Bado ananisimbua

Mtoto ndio nin aiseee piga chini huyo malaya atakuua na mapresha ooh,wewe umeshagundua anakuchit unataka nin tenaWakuuu Asanteni sana kwa mawazo yenu yote
Leo ngoja niwape mrejesho kwenye maamuzi niliyofikia
Tulikaa kikao na mke wangu kwa ajili ya kufanya maridhoani. Nankukumbushana wajibu wetu katika familia.
Tulikaa kama wiki tatu tu then nikagundua ana urafiki wa Karibu sana na rafiki yangu wa Karibu ndipo nikaanza kufanya shanting nijue ni mahusiano ya namna gani. Baada ya wiki moja nikagundua Wana mawasiliano ya kimapenzi
Nikamuuliza mke wangu akakataaa katukatu
Then nikamuuliza rafiki yangu akasema walikuwa wanachat kiutani.
Kusema niliumia sana kutokana na Yale niliyoyaona
Nilirudi kwa mke wangu tukagombana sana kuhusu Lile swala
Baada ya hapo niliamua kusahau Kila kitu sababu alikiri haitajirudia tena na pia tuna bond ya mtoto
Tulikaaa wiki moja tu akaniomba pesa ya mafuta na kusuka. Kiukweli nilishangaa sana sababu ni matumizi makubwa sana ambayo hakuwa nayo mwanzoni
Nilimpatia 40000 then nikamwambia nitampatia baada ya siku moja
Hapo ugomvi ulikuwa mkubwa saba sababu alitaka Hela yote,tena aliongea maneno mengi sana ya kunikasfu.
Baada ya hapo tulimalizana kimjini mjini
Japo Bado ananisimbua
Kwa Mujibu wa huu Uzi wako, Kila mwanaume amesoma na kuvaa uhusika,,kabla ya kukusanya maoni ya watu ambao ni nje ya box Kwa maisha yenu binafsi,hebu angalia wewe unaweza kuamua Nini? Ukumbuke umevaa uvumilivu uliokupa ujasiri Kuja kwenye uwanja wa JF kumwaga yanayowasibu wewe na mkeo, hapa soma mawazo ya watu kwakuwa tayari maamuzi umesha jitolea mwenyewe, ukumbuke pia tayari ni mzazi mwenzio, yawezekana una hofu juu ya hatua zitakazo chukuliwa kisheria baada ya kutoa mawazo yakuachana Kwa hofu ya mali mnazomiliki? Pigania uhai kwanza ili maisha yaendelee hebu tetea afya, kuhusu mtoto yawezekana ni damu yako kwahyo bado utawajibika kama mzazi,hayo ni maisha uliyochagua angalia utamaliza vipi Kwa hayo unayopitia!Habari jf
Moja kwa Moja nije kwenye mada yangu. Nina ishi na huyu mwanamke tangu 2020 na tumejaaliwa kupata mtoto Mmoja japo hatujafunga ndoa lakini nililipia mahari
Amekuwa na wivu sana kuhusu Mimi lakini kwangu sio shida maana ilikuwa hainipi shida lakini baadae alianza hadi kutuma boda boda inifatilie kwenye mishe zangu kama ningukuwa nafanya mambo ya kihuni.
Mara kadhaa amekuwa akinishutumu na mahusiano na wafanyakazi wenzangu kazini ( yeye alimaliza chuo hajapata ajira) nikahisi labda Yuko loose nikaamua kumfungulia biashara
Imefika pahala alinitamkia Toka mdomoni make ya kwamba anamchukia mama yangu na ndugu zangu sababu sisi ni wa binafsi na hatumpendi sababu Huwa hawampigii simu mara kwa mara
Mwaka huu February niligundua kama simu yangu imedukuliwa ndo nikaenda kwa fundi nikagundua kama yeye ndo alifanya hivyo nikamwomba atoe lakini alibisha kuwa hajafanya.
Ukiachana na hayo yote Kila ugomvi ikitokea anadai anataka kuondoka lakini nikikubaliana na maamuzi yake anawapigia simu ndugu zangu na ndugu zake kwamba nataka kumfukuza so Huwa nashindwa kuelewa anataka nini. Yeye always ni vita juu ya wanawake wenzake japo kuwa hajawahi nifumania Wala kunikuta na mwanamke kwenye simu yangu.huwa anakisia anaponiona nawasiliana na mwanamke yeyote
Wiki iliyopita niliazika simu yake niwekee wi-fi kwenye tv ndipo ikaingia SMS ambayo ilinistua ikabdii nifuatilie nikaona ana mawasiliano ya kimapenzi nawanamme mwingine kwa muda mrefu ndipo nikaanza kuunganisha dots. Nimekuwa nikipata ugonjwa unaitwa herpes simplex kwa muda mrefu sana ikafika pahala Kila tukifanya mapenzi lazma nipake dawa huku yeye akinirushia maneno ya kwamba huu ugonjwa ninautoa nje namletea. Lakini nisipofanya mapenzi nilikuwa siupati nakuwa sawaaa kabisaaa. Ikafika pahala nikawa sipati hata hamu nae sababu ya kufu ya huu ugonjwa
Tangu nigundue sijamwuliza lolote lakini amejishtukia anahisi Kuna kitu nimegundua japo sipendi ajue kwa Sasa.
Mwenye uzoefu na changamoto kama hii anipe ushauri tafadhari
Wewe ni dhaifuWakuuu Asanteni sana kwa mawazo yenu yote