Sikiliza nikuambie, Watu Wabaya Huwa wanakawaida ya kujificha kwenye mavazi meupe.
Mkeo Kujifanya Kila Mara anakufatilia, analiaa, anakuambia naondoka, na mablaa blaaa mengi, ni mbinu ya wewe umuone yeye Malaika, ili utumie muda wako mwingi kua unajielezea kwake, na usitake kumfatilia.
Wewe ni Mjinga sana japo unataka uambiwe, 'Una akili', ila wewe ni mjinga sana ,mjinga na Tahira !!.
Meseji imeingia ya kimalaya, ukarudisha simu kimya kimya? Akajua unajua ? Alafu unakaa kimya?? Unakula Chakula anachopika?? Unakunywa chai yake ??
Hivi wanaume wengine mkoje ??
aiseee, ulishindwa kukiwasha palepale , Tena unashahidi wa meseji?? Wacha yeye anayesadiki, unameseji, alafu unashindwa kukiwasha ??.
Sasa nakuambia hiyo shida ya HSV Huwa inaendana na HIV , utachagua mwenyewe ,unataka uishi na ipi !!.
Mjinga Mmoja wee, Ndivo ulifunzwa kwamba, ukiwa Jentomeni , ni kukaa kimya,, Nilitegemea unakuja kutusimulia JF juu ya hatua ulochukua haraka haraka, ili kuzuia Hatari kabla haijawa kubwa,,,,, Weee unaleta Blaaa blaaaaa .
yaan Wanaume mnaopata Wanawake Kwa bahati , na wale mnaoepuka Ngono mpaka mtakapooa, Huwa mna Matatizo sana !.
Una Ushahidi wa Meseji kua analiwa muda mrefuuu.
una Gonjwa unaishi nalo !!.
Bado tuuu umekomaaa