USHAHIDI zaidi wa Green Guard ya CCM, mahusiano na vyombo vya dola, serikali ndiyo walezi

Nasikia huruma ccm itakufa kifo kibaya sana 2015 kipindi hicho green guard, itakosa mvuto red and blue iyakuwa juu zaidi
 
CCM ilizaliwa, ikakua, na sasa inakufa, hakuna wakuzuia kifo chao, kila siri itawekwa peupeeeee, dunia itajua
 
Red Bridgade ni kikundi ya watesaji, watekaji, wang'oa kucha na meno, wamwagia tindikali na watembea na sumu
Haya yanawezekana tu pale serikali dhaifu inapoachiwa iongoze nchi.Vinginevyo serikali imara inatakiwa iwathibiti
wanaoonea raia wema.
 
Eti Hapo chini wamekoment kwamba "TABIA YAKE NZURI SANA"

What a shame..!!

Hiyo comment ni kiashiria kwamba Anaweza kufanyia mtu unyama kama vile kuua, kumwagia tindikali, kung'oa kucha na meno bila ganzi, kutoboa macho, kurusha bomu, n.k.

Wakati wakina Hamy-D, Ritz, FF & Co. wanaendelea kuiba rasilimali za nchi.
 
attachment.php
 
Hii thread ni mwiba mchungu na mkali kwa magamba. .hahaha ama kweli mwisho wa ubaya ni aibu.kikwete anatia aibu sana basi tu.
 
iki chama ase eti apo chini wameandika ujamaa ivi wanajua ujamaa hawa kwel
 
sasa hivi huku kwetu vijana wanakamatwa kinguvu kujiunga na mgambo(green guard) hakika CCM inatupeleka kwenye genocide mnamo 2015
 
sasa hivi huku kwetu vijana wanakamatwa kinguvu kujiunga na mgambo(green guard) hakika CCM inatupeleka kwenye genocide mnamo 2015

Wapi huko?

Yaani wanalazimishwa kwenda kufanya hivi? Kupewa mafunzo ya kijeshi ili wapige, kuumiza na hata kuua Watanzania wenzao?
 
Wanawakamata ili wakafundishwe hivi...hata watoto wamekamatwa?
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1375526016.878007.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1375526016.878007.jpg
    91.5 KB · Views: 36
  • ImageUploadedByJamiiForums1375526058.620617.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1375526058.620617.jpg
    54 KB · Views: 32
  • ImageUploadedByJamiiForums1375526142.615004.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1375526142.615004.jpg
    120.8 KB · Views: 37
  • ImageUploadedByJamiiForums1375526244.731924.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1375526244.731924.jpg
    10.5 KB · Views: 66
Back
Top Bottom