Ushahidi kwamba Watz tuna IQ ndogo ni huu kuhusu malumbano na Zanzibar! Kwa nini nasema hivyo, ukiangalia Zanzibar ina kilometa za mraba takribani 2600 (2600 km²) na Watu wasiofika Milioni moja (1,000 000) wakati Tanzania Bara ina zaidi ya kilometa za Mraba laki tisa(>900 000 km²) na watu wanaozidi milioni 40 (40 000 000) lkn tunapoteza Muda, Nchi nzima kujadili haki yetu ya kupata ardhi Zanzibar, tupoteza Muda kujadili eti kupewa haki sawa na Zanzibar ktk Muungano...
Hakuna Binadamu yoyote mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kupoteza muda kujadili mambo yenye uwiano kama Huo! Nasema Dunia nzima hakuna, ni sisi tu!
Hivyo wanaotafuta mchawi wa kwa nini sisi ni Masikini jibu lipo nalo ni moja tu, IQ!
IQ ndio ya kulaumu, yaani uwezo wa kuona na kuamua ni mambo gani ya kuyapa Kipaumbele ktk Maisha ndio mwisho wa siku unaamua ni nani aweze kuendelea kiuchumi na nani azidi kubakia kuwa Masikini...
ukisema watanzania wote tuna IQ ndogo unakosea suala linalosumbua bungeni kuna mtu hataki muungano na mwingine analazimisha. Na huyo anayelazimisha anapewa masharti magumu ya ajabu wakati yeye anaogopa kuongea ya moyoni kumwambia huyo ambaye hataki muungano. Umeshajua mkubwa?Ushahidi kwamba Watz tuna IQ ndogo ni huu kuhusu malumbano na Zanzibar! Kwa nini nasema hivyo, ukiangalia Zanzibar ina kilometa za mraba takribani 2600 (2600 km²) na Watu wasiofika Milioni moja (1,000 000) wakati Tanzania Bara ina zaidi ya kilometa za Mraba laki tisa(>900 000 km²) na watu wanaozidi milioni 40 (40 000 000) lkn tunapoteza Muda, Nchi nzima kujadili haki yetu ya kupata ardhi Zanzibar, tupoteza Muda kujadili eti kupewa haki sawa na Zanzibar ktk Muungano...
Hakuna Binadamu yoyote mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kupoteza muda kujadili mambo yenye uwiano kama Huo! Nasema Dunia nzima hakuna, ni sisi tu!
Hivyo wanaotafuta mchawi wa kwa nini sisi ni Masikini jibu lipo nalo ni moja tu, IQ!
IQ ndio ya kulaumu, yaani uwezo wa kuona na kuamua ni mambo gani ya kuyapa Kipaumbele ktk Maisha ndio mwisho wa siku unaamua ni nani aweze kuendelea kiuchumi na nani azidi kubakia kuwa Masikini...
Ushahidi kwamba Watz tuna IQ ndogo ni huu kuhusu malumbano na Zanzibar! Kwa nini nasema hivyo, ukiangalia Zanzibar ina kilometa za mraba takribani 2600 (2600 km²) na Watu wasiofika Milioni moja (1,000 000) wakati Tanzania Bara ina zaidi ya kilometa za Mraba laki tisa(>900 000 km²) na watu wanaozidi milioni 40 (40 000 000) lkn tunapoteza Muda, Nchi nzima kujadili haki yetu ya kupata ardhi Zanzibar, tupoteza Muda kujadili eti kupewa haki sawa na Zanzibar ktk Muungano...
Hakuna Binadamu yoyote mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kupoteza muda kujadili mambo yenye uwiano kama Huo! Nasema Dunia nzima hakuna, ni sisi tu!
Hivyo wanaotafuta mchawi wa kwa nini sisi ni Masikini jibu lipo nalo ni moja tu, IQ!
IQ ndio ya kulaumu, yaani uwezo wa kuona na kuamua ni mambo gani ya kuyapa Kipaumbele ktk Maisha ndio mwisho wa siku unaamua ni nani aweze kuendelea kiuchumi na nani azidi kubakia kuwa Masikini...
Wewe ndo una IQ ndogo. Issue ya Zanzibar ni sensitive sana. Kwa waona mbali huwezi ukaijadili kijuu juu tu. Huna data unaposema "Hakuna Binadamu yoyote mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kupoteza muda kujadili mambo yenye uwiano kama Huo! Nasema Dunia nzima hakuna, ni sisi tu!. Kam unafuatilia vyombo vya habari utaelewa ni kwanini Urusi ana nchi za Europe na Marekani zinataka ushawishi wa nchi ya Ukrane hasa kisiwa cha Crimea. Ujiulize kwani vita ya Uingereza ilipigana vita kugombea kisiw cha Falkland wakati kisiwa hicho kipo karibu Km 12734 kutoka Uingereza. Kaka no reserch, no right to speak.
Hilo swala lako la IQ limenikumbusha study fulani hivi (Open the link ujionee). Who Are the Smartest People on Earth? World Map of Average IQ Scores | memolition
Unadhani ukimuuliza kiwete kwa nini nchi ni maskini pamoja na raslimari lukuki atakujibuje?----IQ ndogo[/COLOR]Mkuu nakuunga mkono aise hasa hapo kwenye red, wengi wa watanzania wana upeo mdogo sana wa kufikiri na kutulia na kuchambua mambo si profesa, dokta au nani wengi hawana, ndo maana wengi wetu hatujui tunataka nini hasa katika Nchi hii, na wengi hawajui kwa nini wanagombea nafasi mbali mbali za uongozi hasa Urais! ila bora wamegombea, hata ukiangalia bungeni karibu wabunge wengi wana upeo mdogo sana, wengi wanadhani kuwa Siasa ni ugomvi, fitna, rafu na kupeana madongo.
Hata siasa zetu ni za low IQ, ukitaka kujua ni za low IQ fuatilia kampeni za KALENGA, jikumbushe Arumeru M, Igunga, wengi hawajui siasa wanadhani siasa ni vita!!!!