Ushahidi wa serikali yetu kufilisika huu hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushahidi wa serikali yetu kufilisika huu hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zubedayo_mchuzi, Oct 28, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  uvumilivu huu mpaka linii.............
   

  Attached Files:

 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  unashauri nini mama?
   
 3. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  ndo sirikali yetu hiyo full usanii
   
 4. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Zitto Kabwe alishawahi kulisema hili, Mkulo akafyata. Sasa leo kuna ushahidi tumeudaka huko mikoani. Naomba kuwasilisha:
  [​IMG]

   
 5. v

  valid statement JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  ka simu kangu kamekataa kuzumu iyo leta.
   
 6. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Eh! kumbe aliyosema Mkulo kuwa serikali ina fedha za akiba ilikuwa geresha!
   
 7. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  hadi raha...JF.
   
 8. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,094
  Likes Received: 1,269
  Trophy Points: 280
  hiyo ya Geita..na Kilosa nao wanalia baadhi ya watumishi
   
 9. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hii serikali mbona ilishakufa siku nyingi mno. Kila siku magazeti yanaandika jinsi reserve ya benk kuu ilivyopungua kwa kiasi cha kuogopesha.
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hii ndiyo serikali inayoendeshwa na ccm legelege bana
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Huo ndio ushahidi wa serikali kufilisika kweli? Haiwezi ikawa ni makosa tu kwenye mfumo wa ulipaji?
   
 12. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #12
  Oct 29, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Hela zote kikwete anatanulia huko nje..ss hv yuko australia anakula raha!!!
   
 13. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  watumishi kibao hadi leo hawajalipwa pesa zao hata baada ya kupandishwa cheo,kuna mtumishi fulani alipandishwa cheo kuwa mkuu wa idara fulani ktk halmashauri fulani bado hadi leo anawadai serikali pesa kibao...akaandika barua yenye kurasa 30 kwa wizara ya kazi,lkn matokeo yake hakuna had leo hajalipwa...pia ukiachana na kukosa mishahara,watumishi wamekuwa wakihamishwa ovyo kutoka kituo kimoja cha kazi kwenda kingine bila sababu maalumu,ukichakachua sana utatambua kuwa mtumishi huyo amekuwa akipigania haki ktk kituo chake cha kazi,ndio maana hata kitoto kidogo cku hizi ukikiuliza kikikua kitafanya kazi wap,kitasema ulaya,yani ni wizi mtupu...huko kwenye halmashauri za wilaya majungu mengi hakuna linaloendelea,yan halmashauri haiwezi hata kuanzisha kaduka kavocha jamani,watumishi wenyewe wanasemeana eti kisa fulani anafanya kazi vizuri basi ni tatizo,wanatoana kafara pale wakuu wa mikoa wanapopita kukagua hesabu na mahudhurio ya wafanyakazi,jamani kwa hali hii tutafika kweli?..mimi ninatamani sana nije kufanya kazi serikali za mitaa lkn kwa hali hii,uniambie mshahara sijui pungufu sijui nini ckuelewi kabisa...hizo hela wanazodai zipo wawalipe mamia ya watumishi wanaoidai serikali kwa miaka nenda miaka rudi,kama wameshindwa kuwalipa wa jumuiya ya e.africa wataweza kuwalipa watumishi wa serikali wanaowahamisha bila sababu za msingi na kuwapeleka sehemu ambazo hata nyumba ya kukaa huyo mtumishi hakuna,tunaanza kulazwa gesti baba mama na vitoto vyenu...JE,KWA HALI HII TUTAFIKA?STILL TUNATAKA ETI WATOTO WAWE NA COMMITMENT KULITUMIKIA TAIFA,NI MPUUZI GANI YUKO TAYARI KUPATA MSHAHARA NUSU?KWANI KAFANYA KAZI MWEZI MZIMA,AMA NUSU MWEZI?...
   
 14. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mfumo wa ulipaji? Mbona miaka ya nyuma hakukuwa na huu ujinga?
   
 15. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Hivi mishahara ya october imetoka au nayenyewe itachelewa kama wazee wa eatc?!
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wenyewe washajizoelea
   
 17. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  hivi unazani kupiga picha na member wa G-UNIT unazani mchezo..na bado anampango we kupiga picha na mesi,pedro na ballotel..
   
 18. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  nasikia tangazo kama hili lipo pia Mafinga
   
 19. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kuna halmashauri zingine nasikia wamepata pungufu tetesi wanachangia sherehe za signature hapa chini
   
 20. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  Kaazi kweli kweli!
   
Loading...