juu kwa juu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 260
- 48
Kuna ushahidi wa kutosha kuonesha Lukuvi kubambikiaa watu kesi hasa wale ambao hawamshangilii akifika jimboni. Mtu mmoja kata anayotoka ya Idodi alikamatwa na polisi akidai kuwa ana dispensary isio na kibali kumbe ulikuwa uonevu tu mpaka sasa huyo mtu yupo taabani kwa kipigo kama sio kashaaga dunia?:
Kijana mmoja alihoji kuhusu kughushi kwa vyeti vyake huko tarafa ya Pawaga akaagiza awekwe ndani mpaka akapojisikia kumtoa.
Kijana mmoja huko Isimani yaani Migoli alimkamatwa na polisi baadaya kuagizwa na Lukuvi akamatwe na kumuunganisha na kesi mbaya ya unyanganyi wa kutumia silaha. Huyu wa Migoli alishindwa baada ya wananchi kutaka kuandamana wakimtetea kuwa kijana alikuwa kwake na hana historia au tabia ya wizi.
Vitisho vingine ni kama watz mlivyojisikilizia bungeni na mengine yatakuja.
Kimsingi anaongoza jimbo lile kama nchi yake na si kama mwakilishi wa watu. Anawakilisha familia yake.
Mh. Rais tunaomba uwasaidie wana isimani wale wanateseka,ana vibaraka wake ambao ni katibu tarafa ambao anadai amewaweka kulinda masilahi yake yupo Makendi ndugu yake,yupo wa Idodi, kazi yake ni kuwatisha ili waendelee kutesa wananchi kwa shinikizo eti yeye ndie kila kitu mkoani na hamna yeyote.
Chunguzeni watu wa serikali madai haya kwa nini mtu mmoja atishie uhuru wa wananchi wote hawa.