Ushahidi wa Amani Sam Golugwa umebeba mambo mazito

what are these reorts to do with UHAINI? Do thy give a clue as to the commission of the treason offence? Sioni link!
Nadhani hukufuatilia hoja za akina Katuga. Katuga na kundi lake, kila mara, Maswali yao yalikuwa, je, mtuhumiwa na CHADEMA waliwahi kutumia njia za kidemokrasia kulalamikia mifumo mibaya ya uchaguzi? Nia yao ni kujenga hoja kuwa CHADEMA ilipendelea vurugu kuliko njia za kidemokrasia. Ushahidi wa Golugwa, Mnyika na Lisu mwenyewe ni kuwa walikwishafanya jitihada nyingi kutaka mifumo ya kijambazi ya uchaguzi iliyotengenezwa na chama kichafu cha CCM ibadilike, na jitohada hizo hazijafanywa tu na CHADEMA pekee, bali mpaka na taasisi mbalimbali za kimataifa, lakini serikali iliyobobea kwenye uovu imekataa, imekuwa ikiendelea na uovu wake. Hivyo njia pekee ya kidemokrasia iliyokuwa imebakia ni kuwaelimisha na kuwahamasisha wananchi wakatae uchaguzi bandia.
 
hata hao majaji wanajua kila kitu.

inanikumbusha kesi ya mtume Paulo mbele ya mtawala Agripa na Felix.
"... kwamba hata wewe Agripa unajua nashitakiwa kwa sababu gani ..."
 
Jambo la kwanza ni kwamba ametaja ripoti za SADC, EU, Commonwealth na Thabo Mbeki Foundation. Kama sehemu za ripoti hizo zitaruhusiwa kutumika kama ushahidi mahakamani, upande wa utetezi unaweza kusema kwamba si CHADEMA pekee iliyokuwa na wasiwasi kuhusu uchaguzi, bali hata taasisi nyingine za kimataifa zilieleza mambo yanayofanana kuhusu mazingira ya uchaguzi. Hilo linaweza kuifanya hoja yao ionekane kuwa na uzito zaidi.

Lakini kuna upande mwingine wa muhimu. Golugwa anaeleza mambo aliyoyasoma kwenye ripoti hizo; yeye si mwandishi wa ripoti hizo, wala hakuwa shahidi wa kila tukio lililoandikwa humo. Ndiyo maana upande wa mashtaka unaweza kuhoji kama ripoti hizo zinaweza kutegemewa kikamilifu, kama zimewasilishwa kwa ukamilifu, au kama zimefasiriwa kwa usahihi. Mwisho wa siku, Mahakama ndiyo itaamua uzito wa nyaraka hizo.

Pia kuna sehemu alipoulizwa kuhusu matokeo ya ubunge na udiwani akajibu, "Sifahamu." Hilo linaweza kutafsiriwa kwa njia mbili. Wapo watakaoona ameonyesha uaminifu kwa kukataa kusema jambo asilolijua, lakini upande wa mashtaka unaweza kulitumia kuonyesha kwamba kuna maeneo ambayo yeye mwenyewe hana taarifa za kutosha.

Sehemu nyingine yenye uzito ni pale Lissu alipohamia kwenye mjadala wa chombo kinachosimamia uchaguzi. Aliuliza viongozi wake wanapatikanaje na Mkurugenzi wake anateuliwaje. Hapo utetezi unaonekana kutaka kuonyesha jinsi mfumo wa uteuzi ulivyojengwa.

Hata hivyo, jambo hilo peke yake halitoshi kuthibitisha kwamba uchaguzi uliibwa au kwamba kulikuwa na njama ya kutenda kosa. Bado ni lazima ionyeshwe hatua kwa hatua mamlaka hiyo ilitumika vipi, nani alifanya nini, na uhusiano wake na mashtaka yanayomkabili Lissu.

Kwa kifupi, ushahidi wa Golugwa unaonekana kujaribu kuweka picha pana ya mazingira ya uchaguzi, lakini bado Mahakama ndiyo itapima ni sehemu zipi zina uzito wa kuthibitisha hoja za utetezi na zipi hazitoshi.

Itashangaza sana iwapo TL atakutwa na hatia. Hebu tutazame vitu vya kuthibitishwa na jamhuri kwa kosa la uhaini.
1. Allegiance (utiifu kwa jamhuri).
Hii ipo sawa.
2. Nia ovu ya kutenda uhaini( mens rea (treasonable intent)
Ushahidi uliotolewa unaacha mashaka makubwa juu ya nia. Hata tuseme nia ilikuwepo, nia pekee haitoshi lazima kuwe na.
3. Matendo ya uhaini (actus reus). Sheria yetu imeyataja hayo matendo. Mfano kumwua au kujaribu kumwua Rais, kuanzisha vita, kutisha jamhuri, kusaidia adui, kukusanya silaha, etc.
Ushahidi wa jamhuri haujaonesha TL kutenda hata kimojawapo ya hayo matendo.

Ili uthibitishe kosa nia na TENDO vyote viwili lazima viwepo.
Haitashangaza tena.
Ilishangaza kukutwa na kesi ya kujibu ambapo ushahidi wote mliuona hau-correlate. Ilitosha kuelewa kua hapa yanatekelezwa maelekezo, ndio maana kuna watu wanaenda kum-persuade mshtakiwa abadili msimamo.

Mimi nitashangaa kuona hawamkuti na hatia, ambayo ofcoz hana, ila ntashangaa kwamba sasahivi wameogopa nini?
 
Jambo la kwanza ni kwamba ametaja ripoti za SADC, EU, Commonwealth na Thabo Mbeki Foundation. Kama sehemu za ripoti hizo zitaruhusiwa kutumika kama ushahidi mahakamani, upande wa utetezi unaweza kusema kwamba si CHADEMA pekee iliyokuwa na wasiwasi kuhusu uchaguzi, bali hata taasisi nyingine za kimataifa zilieleza mambo yanayofanana kuhusu mazingira ya uchaguzi. Hilo linaweza kuifanya hoja yao ionekane kuwa na uzito zaidi.

Lakini kuna upande mwingine wa muhimu. Golugwa anaeleza mambo aliyoyasoma kwenye ripoti hizo; yeye si mwandishi wa ripoti hizo, wala hakuwa shahidi wa kila tukio lililoandikwa humo. Ndiyo maana upande wa mashtaka unaweza kuhoji kama ripoti hizo zinaweza kutegemewa kikamilifu, kama zimewasilishwa kwa ukamilifu, au kama zimefasiriwa kwa usahihi. Mwisho wa siku, Mahakama ndiyo itaamua uzito wa nyaraka hizo.

Pia kuna sehemu alipoulizwa kuhusu matokeo ya ubunge na udiwani akajibu, "Sifahamu." Hilo linaweza kutafsiriwa kwa njia mbili. Wapo watakaoona ameonyesha uaminifu kwa kukataa kusema jambo asilolijua, lakini upande wa mashtaka unaweza kulitumia kuonyesha kwamba kuna maeneo ambayo yeye mwenyewe hana taarifa za kutosha.

Sehemu nyingine yenye uzito ni pale Lissu alipohamia kwenye mjadala wa chombo kinachosimamia uchaguzi. Aliuliza viongozi wake wanapatikanaje na Mkurugenzi wake anateuliwaje. Hapo utetezi unaonekana kutaka kuonyesha jinsi mfumo wa uteuzi ulivyojengwa.

Hata hivyo, jambo hilo peke yake halitoshi kuthibitisha kwamba uchaguzi uliibwa au kwamba kulikuwa na njama ya kutenda kosa. Bado ni lazima ionyeshwe hatua kwa hatua mamlaka hiyo ilitumika vipi, nani alifanya nini, na uhusiano wake na mashtaka yanayomkabili Lissu.

Kwa kifupi, ushahidi wa Golugwa unaonekana kujaribu kuweka picha pana ya mazingira ya uchaguzi, lakini bado Mahakama ndiyo itapima ni sehemu zipi zina uzito wa kuthibitisha hoja za utetezi na zipi hazitoshi.
Mahakama hiihii ya mama Abdul ndiyo ipime 'sehemu zipi zina uzito'?
Stop dreaming, wake up.
 
Hadi kuamua kujitetea ina maana unaiamini mahakama
Sio kweli.
Ni kwasababu huo ndo utaratibu wa kufuata hatakama mfumo ni doomed.
Pili ni kwasababu ya kuanika mambo kwa public, ndiomaana alikataa mahakama ya siri. Ilipo sasa hauhitaji kua genius kujua kua hana hatia, hichi ndicho anatuletea kwa kujitetea.
 
Jambo la kwanza ni kwamba ametaja ripoti za SADC, EU, Commonwealth na Thabo Mbeki Foundation. Kama sehemu za ripoti hizo zitaruhusiwa kutumika kama ushahidi mahakamani, upande wa utetezi unaweza kusema kwamba si CHADEMA pekee iliyokuwa na wasiwasi kuhusu uchaguzi, bali hata taasisi nyingine za kimataifa zilieleza mambo yanayofanana kuhusu mazingira ya uchaguzi. Hilo linaweza kuifanya hoja yao ionekane kuwa na uzito zaidi.

Lakini kuna upande mwingine wa muhimu. Golugwa anaeleza mambo aliyoyasoma kwenye ripoti hizo; yeye si mwandishi wa ripoti hizo, wala hakuwa shahidi wa kila tukio lililoandikwa humo. Ndiyo maana upande wa mashtaka unaweza kuhoji kama ripoti hizo zinaweza kutegemewa kikamilifu, kama zimewasilishwa kwa ukamilifu, au kama zimefasiriwa kwa usahihi. Mwisho wa siku, Mahakama ndiyo itaamua uzito wa nyaraka hizo.

Pia kuna sehemu alipoulizwa kuhusu matokeo ya ubunge na udiwani akajibu, "Sifahamu." Hilo linaweza kutafsiriwa kwa njia mbili. Wapo watakaoona ameonyesha uaminifu kwa kukataa kusema jambo asilolijua, lakini upande wa mashtaka unaweza kulitumia kuonyesha kwamba kuna maeneo ambayo yeye mwenyewe hana taarifa za kutosha.

Sehemu nyingine yenye uzito ni pale Lissu alipohamia kwenye mjadala wa chombo kinachosimamia uchaguzi. Aliuliza viongozi wake wanapatikanaje na Mkurugenzi wake anateuliwaje. Hapo utetezi unaonekana kutaka kuonyesha jinsi mfumo wa uteuzi ulivyojengwa.

Hata hivyo, jambo hilo peke yake halitoshi kuthibitisha kwamba uchaguzi uliibwa au kwamba kulikuwa na njama ya kutenda kosa. Bado ni lazima ionyeshwe hatua kwa hatua mamlaka hiyo ilitumika vipi, nani alifanya nini, na uhusiano wake na mashtaka yanayomkabili Lissu.

Kwa kifupi, ushahidi wa Golugwa unaonekana kujaribu kuweka picha pana ya mazingira ya uchaguzi, lakini bado Mahakama ndiyo itapima ni sehemu zipi zina uzito wa kuthibitisha hoja za utetezi na zipi hazitoshi.
Kwenye issue ya Tume Lissu alishaonesha kwenye ushahidi wake kuwa baadhi ya wakurugenzi wa tume walikuwa wangombea na mmoja ni mbunge wa Butiama.
 
Back
Top Bottom