Ushahidi wa Amani Sam Golugwa umebeba mambo mazito

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
20,884
Reaction score
52,749
Jambo la kwanza ni kwamba ametaja ripoti za SADC, EU, Commonwealth na Thabo Mbeki Foundation. Kama sehemu za ripoti hizo zitaruhusiwa kutumika kama ushahidi mahakamani, upande wa utetezi unaweza kusema kwamba si CHADEMA pekee iliyokuwa na wasiwasi kuhusu uchaguzi, bali hata taasisi nyingine za kimataifa zilieleza mambo yanayofanana kuhusu mazingira ya uchaguzi. Hilo linaweza kuifanya hoja yao ionekane kuwa na uzito zaidi.

Lakini kuna upande mwingine wa muhimu. Golugwa anaeleza mambo aliyoyasoma kwenye ripoti hizo; yeye si mwandishi wa ripoti hizo, wala hakuwa shahidi wa kila tukio lililoandikwa humo. Ndiyo maana upande wa mashtaka unaweza kuhoji kama ripoti hizo zinaweza kutegemewa kikamilifu, kama zimewasilishwa kwa ukamilifu, au kama zimefasiriwa kwa usahihi. Mwisho wa siku, Mahakama ndiyo itaamua uzito wa nyaraka hizo.

Pia kuna sehemu alipoulizwa kuhusu matokeo ya ubunge na udiwani akajibu, "Sifahamu." Hilo linaweza kutafsiriwa kwa njia mbili. Wapo watakaoona ameonyesha uaminifu kwa kukataa kusema jambo asilolijua, lakini upande wa mashtaka unaweza kulitumia kuonyesha kwamba kuna maeneo ambayo yeye mwenyewe hana taarifa za kutosha.

Sehemu nyingine yenye uzito ni pale Lissu alipohamia kwenye mjadala wa chombo kinachosimamia uchaguzi. Aliuliza viongozi wake wanapatikanaje na Mkurugenzi wake anateuliwaje. Hapo utetezi unaonekana kutaka kuonyesha jinsi mfumo wa uteuzi ulivyojengwa.

Hata hivyo, jambo hilo peke yake halitoshi kuthibitisha kwamba uchaguzi uliibwa au kwamba kulikuwa na njama ya kutenda kosa. Bado ni lazima ionyeshwe hatua kwa hatua mamlaka hiyo ilitumika vipi, nani alifanya nini, na uhusiano wake na mashtaka yanayomkabili Lissu.

Kwa kifupi, ushahidi wa Golugwa unaonekana kujaribu kuweka picha pana ya mazingira ya uchaguzi, lakini bado Mahakama ndiyo itapima ni sehemu zipi zina uzito wa kuthibitisha hoja za utetezi na zipi hazitoshi.
 
ok.🐒
 
Whatever, ushahidi wooooote wa Prosecution hauja hit zile core elements/ ingredients za uhaini. Ni mastory tu!
Kuna precedents hapa Tz ambazo zimeaimisha what constitute Uhaini.....sijaona katika propaganda za Katuga!
 
Uhaini hufanyika covertly kwa maficho na siri sana na si kwa matamko ukihusisha kikundi cha watu walio na nia inayothibitika, kuonekana wazi,kupimika walio katika maeneo ya kiulinzi na usalama kimkakati, kwa kulenga kuiondoa serikali na utawala uliopo madarakani, lojistics, mifumo,mitandao,uratibu huhusika,vikao, ushahidi wa nyaraka na mipango thabiti yenye malengo kwa muda maalum uliotenga kiutekelezaji. Je kesi ya Lissu itakidhi vigezo" SMART JUSTICE" Kiuhani lets see!
 
Jambo la kwanza ni kwamba ametaja ripoti za SADC, EU, Commonwealth na Thabo Mbeki Foundation. Kama sehemu za ripoti hizo zitaruhusiwa kutumika kama ushahidi mahakamani, upande wa utetezi unaweza kusema kwamba si CHADEMA pekee iliyokuwa na wasiwasi kuhusu uchaguzi, bali hata taasisi nyingine za kimataifa zilieleza mambo yanayofanana kuhusu mazingira ya uchaguzi. Hilo linaweza kuifanya hoja yao ionekane kuwa na uzito zaidi.

Lakini kuna upande mwingine wa muhimu. Golugwa anaeleza mambo aliyoyasoma kwenye ripoti hizo; yeye si mwandishi wa ripoti hizo, wala hakuwa shahidi wa kila tukio lililoandikwa humo. Ndiyo maana upande wa mashtaka unaweza kuhoji kama ripoti hizo zinaweza kutegemewa kikamilifu, kama zimewasilishwa kwa ukamilifu, au kama zimefasiriwa kwa usahihi. Mwisho wa siku, Mahakama ndiyo itaamua uzito wa nyaraka hizo.

Pia kuna sehemu alipoulizwa kuhusu matokeo ya ubunge na udiwani akajibu, "Sifahamu." Hilo linaweza kutafsiriwa kwa njia mbili. Wapo watakaoona ameonyesha uaminifu kwa kukataa kusema jambo asilolijua, lakini upande wa mashtaka unaweza kulitumia kuonyesha kwamba kuna maeneo ambayo yeye mwenyewe hana taarifa za kutosha.

Sehemu nyingine yenye uzito ni pale Lissu alipohamia kwenye mjadala wa chombo kinachosimamia uchaguzi. Aliuliza viongozi wake wanapatikanaje na Mkurugenzi wake anateuliwaje. Hapo utetezi unaonekana kutaka kuonyesha jinsi mfumo wa uteuzi ulivyojengwa.

Hata hivyo, jambo hilo peke yake halitoshi kuthibitisha kwamba uchaguzi uliibwa au kwamba kulikuwa na njama ya kutenda kosa. Bado ni lazima ionyeshwe hatua kwa hatua mamlaka hiyo ilitumika vipi, nani alifanya nini, na uhusiano wake na mashtaka yanayomkabili Lissu.

Kwa kifupi, ushahidi wa Golugwa unaonekana kujaribu kuweka picha pana ya mazingira ya uchaguzi, lakini bado Mahakama ndiyo itapima ni sehemu zipi zina uzito wa kuthibitisha hoja za utetezi na zipi hazitoshi.
Wewe ni mgeni hapa Tanzania?
Wewe hujui kwamba majaji kwenye kesi hii wanatekeleza maelekezo.
 
Kwani hiyo mahakama haipokei maelekezo? Ingekuwa ipo huru kesi hii ingefikia huku?
 
Uhaini hufanyika covertly kwa maficho na siri sana na si kwa matamko ukihusisha kikundi cha watu walio na nia inayothibitika, kuonekana wazi,kupimika walio katika maeneo ya kiulinzi na usalama kimkakati, kwa kulenga kuiondoa serikali na utawala uliopo madarakani, lojistics, mifumo,mitandao,uratibu huhusika,vikao, ushahidi wa nyaraka na mipango thabiti yenye malengo kwa muda maalum uliotenga kiutekelezaji. Je kesi ya Lissu itakidhi vigezo" SMART JUSTICE" Kiuhani lets see!
Sure.
 
Itashangaza sana iwapo TL atakutwa na hatia. Hebu tutazame vitu vya kuthibitishwa na jamhuri kwa kosa la uhaini.
1. Allegiance (utiifu kwa jamhuri).
Hii ipo sawa.
2. Nia ovu ya kutenda uhaini( mens rea (treasonable intent)
Ushahidi uliotolewa unaacha mashaka makubwa juu ya nia. Hata tuseme nia ilikuwepo, nia pekee haitoshi lazima kuwe na.
3. Matendo ya uhaini (actus reus). Sheria yetu imeyataja hayo matendo. Mfano kumwua au kujaribu kumwua Rais, kuanzisha vita, kutisha jamhuri, kusaidia adui, kukusanya silaha, etc.
Ushahidi wa jamhuri haujaonesha TL kutenda hata kimojawapo ya hayo matendo.

Ili uthibitishe kosa nia na TENDO vyote viwili lazima viwepo.
 
Lakini kuna upande mwingine wa muhimu. Golugwa anaeleza mambo aliyoyasoma kwenye ripoti hizo; yeye si mwandishi wa ripoti hizo, wala hakuwa shahidi wa kila tukio lililoandikwa humo. Ndiyo maana upande wa mashtaka unaweza kuhoji kama ripoti hizo zinaweza kutegemewa kikamilifu, kama zimewasilishwa kwa ukamilifu, au kama zimefasiriwa kwa usahihi. Mwisho wa siku, Mahakama ndiyo itaamua uzito wa nyaraka hizo.
what are these reports to do with UHAINI? Do they give a clue as to the commission of the treason offence? Sioni link!
 
Usikute katuga na mahamaka ndio wanamsaidia lissu ili kuivua nguo ccm na gvt yake.
 
Jela itamfanya lissu kukomaa kisiasa,hakika akitoka atakuwa untouchable
 
Itashangaza sana iwapo TL atakutwa na hatia. Hebu tutazame vitu vya kuthibitishwa na jamhuri kwa kosa la uhaini.
1. Allegiance (utiifu kwa jamhuri).
Hii ipo sawa.
2. Nia ovu ya kutenda uhaini( mens rea (treasonable intent)
Ushahidi uliotolewa unaacha mashaka makubwa juu ya nia. Hata tuseme nia ilikuwepo, nia pekee haitoshi lazima kuwe na.
3. Matendo ya uhaini (actus reus). Sheria yetu imeyataja hayo matendo. Mfano kumwua au kujaribu kumwua Rais, kuanzisha vita, kutisha jamhuri, kusaidia adui, kukusanya silaha, etc.
Ushahidi wa jamhuri haujaonesha TL kutenda hata kimojawapo ya hayo matendo.

Ili uthibitishe kosa nia na TENDO vyote viwili lazima viwepo.
Waache majaji wafanye kazi yao
 
Jambo la kwanza ni kwamba ametaja ripoti za SADC, EU, Commonwealth na Thabo Mbeki Foundation. Kama sehemu za ripoti hizo zitaruhusiwa kutumika kama ushahidi mahakamani, upande wa utetezi unaweza kusema kwamba si CHADEMA pekee iliyokuwa na wasiwasi kuhusu uchaguzi, bali hata taasisi nyingine za kimataifa zilieleza mambo yanayofanana kuhusu mazingira ya uchaguzi. Hilo linaweza kuifanya hoja yao ionekane kuwa na uzito zaidi.

Lakini kuna upande mwingine wa muhimu. Golugwa anaeleza mambo aliyoyasoma kwenye ripoti hizo; yeye si mwandishi wa ripoti hizo, wala hakuwa shahidi wa kila tukio lililoandikwa humo. Ndiyo maana upande wa mashtaka unaweza kuhoji kama ripoti hizo zinaweza kutegemewa kikamilifu, kama zimewasilishwa kwa ukamilifu, au kama zimefasiriwa kwa usahihi. Mwisho wa siku, Mahakama ndiyo itaamua uzito wa nyaraka hizo.

Pia kuna sehemu alipoulizwa kuhusu matokeo ya ubunge na udiwani akajibu, "Sifahamu." Hilo linaweza kutafsiriwa kwa njia mbili. Wapo watakaoona ameonyesha uaminifu kwa kukataa kusema jambo asilolijua, lakini upande wa mashtaka unaweza kulitumia kuonyesha kwamba kuna maeneo ambayo yeye mwenyewe hana taarifa za kutosha.

Sehemu nyingine yenye uzito ni pale Lissu alipohamia kwenye mjadala wa chombo kinachosimamia uchaguzi. Aliuliza viongozi wake wanapatikanaje na Mkurugenzi wake anateuliwaje. Hapo utetezi unaonekana kutaka kuonyesha jinsi mfumo wa uteuzi ulivyojengwa.

Hata hivyo, jambo hilo peke yake halitoshi kuthibitisha kwamba uchaguzi uliibwa au kwamba kulikuwa na njama ya kutenda kosa. Bado ni lazima ionyeshwe hatua kwa hatua mamlaka hiyo ilitumika vipi, nani alifanya nini, na uhusiano wake na mashtaka yanayomkabili Lissu.

Kwa kifupi, ushahidi wa Golugwa unaonekana kujaribu kuweka picha pana ya mazingira ya uchaguzi, lakini bado Mahakama ndiyo itapima ni sehemu zipi zina uzito wa kuthibitisha hoja za utetezi na zipi hazitoshi.
Ungefahamu vipi mambo ya uchaguzi wakati yeye hakushiriki uchaguzi huo, angesema anafahamu maana yake alishiriki kinyume na uamuzi wa chama chake.
 
Back
Top Bottom