(Ushahidi)Uhusiano Kati ya Ubaguzi na IQ!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,370
Reaction score
15,110
Kwa maoni yangu nafikiri/naamini kwamba watu ambao SIYO Wabaguzi kama vile sisi (Waafrika/Watz) tuna IQ ndogo ikilinganishwa na wale ambao ni Wabaguzi (Wazungu, Waasia,Waarabu, Wahindi n.k).

Nasema hivyo kwa sababu huwa najiuliza hivi ni kwa nini sisi (Watz) siyo Wabaguzi?
Ni kwa nini tunawakubali watu wote bila kuwabagua? Wakati Jamii nyingine (IQ Kubwa) huwa hamna kitu kama hicho, huwa wanajipendelea wao kwanza na kuwabagua takataka wengine wote...

Ukiangalia hapa kwetu kwa mfano ni Jambo la kawaida sana kukuta Mtz analalamika kwamba ni kwa nini ni ngumu kwake kuoa Msichana wa Kihindi au Kiarabu wakati huwezi kukuta Muhindi ama Mwarabu ana ndoto ya kuoa msichana wa Kitanzania (asilia) kwanza kwao ni kama laana vile lkn kwetu ni kama Neema, sasa Je hapo ni kwa nini?

Je ni kwa sababu tuna IQ ndogo? Yaani uwezo wa kufikiri ambao ndio unamuwezesha Mtu kujua thamani ya Utu wake na kujithamini kwanza?

Je, ni kwa nini ni kawaida kusikia Mtz (ndani ya TZ) akilalamika kwamba Wahindi au Waarabu wanambagua kwa nini isiwe kinyume chake yaani kwamba Wahindi na Waarabu kwa kuwa ndio wachache wawe wanalalamika kubaguliwa na sisi?
Je ya kulaumu Hapo ni IQ yetu ndogo?

Kwa maana Dunia nzima wachache ndio hulia kubaguliwa na wengi, pia wageni ndio hulazimika kukubalika na wenyeji lkn kwetu ni kinyume sisi ndio tunalazimisha kukubaliwa na Wahindi, waarabu Wazungu, Wachina n.k sasa Kwa nini?

Yaani kwa nini sisi SIYO Wabaguzi?
 
Before i forget why am here at the first place , am sorry to let u know that, the government of the United Republic of Tanzania should stop you from getting offspring so that your ignorance will end up with u....
 
Haujui Kiingereza, Makosa kibao...

10376936_1424544764487884_7006216096790066842_a.jpg
 
Before i forget why am here at the first place , am sorry to let u know that, the government of the United Republic of Tanzania should stop you from getting offspring so that your ignorance will end up with u....

Whaat!?
 
Haujui Kiingereza, Makosa kibao...

Taifa letu litaendelea kupata hasara sana kwa kuwa na watu wenye mawazo kama yako. I wonder sijui unatumia kiungo gani kufikiri??? Kule mashariki ya kati watu kama wewe, huchukuliwa, hupandishwa mlimani then wanakuombea dua upotee duniani!!!
 
Ubaguzi hauna mahusiano na IQ kubwa. Na ukiona mtu ni mbaguzi kupita kiasi si ajabu akawa na IQ ndogo sana. IQ kubwa ni pamoja na kuwa na hekima ya kukubali kuishi na watu wa aina yoyote. Taifa kama Marekani linaviongozi wa kila asili kwa kuwa linatambua huo mlinganyo.
 
Hapana mkuu, very intelligent people tend to be liberal, ukiona mtu Ni very conservative Hua Ana IQ ndogo
 
Kwanza nini maana ya ubaguzi?

Hivi ubaguzi ni sifa ya nchi au mtu husika?
Jee kunanchi gani ambayo watu wake wote ni wabaguzi? Na jee kunataifa halina wabaguzi?

IQ ni nini?
 
Kwa maoni yangu nafikiri/naamini kwamba watu ambao SIYO Wabaguzi kama vile sisi (Waafrika/Watz) tuna IQ ndogo ikilinganishwa na wale ambao ni Wabaguzi (Wazungu, Waasia,Waarabu, Wahindi n.k).

Nasema hivyo kwa sababu huwa najiuliza hivi ni kwa nini sisi (Watz) siyo Wabaguzi?
Ni kwa nini tunawakubali watu wote bila kuwabagua? Wakati Jamii nyingine (IQ Kubwa) huwa hamna kitu kama hicho, huwa wanajipendelea wao kwanza na kuwabagua takataka wengine wote...

Ukiangalia hapa kwetu kwa mfano ni Jambo la kawaida sana kukuta Mtz analalamika kwamba ni kwa nini ni ngumu kwake kuoa Msichana wa Kihindi au Kiarabu wakati huwezi kukuta Muhindi ama Mwarabu ana ndoto ya kuoa msichana wa Kitanzania (asilia) kwanza kwao ni kama laana vile lkn kwetu ni kama Neema, sasa Je hapo ni kwa nini?

Je ni kwa sababu tuna IQ ndogo? Yaani uwezo wa kufikiri ambao ndio unamuwezesha Mtu kujua thamani ya Utu wake na kujithamini kwanza?

Je, ni kwa nini ni kawaida kusikia Mtz (ndani ya TZ) akilalamika kwamba Wahindi au Waarabu wanambagua kwa nini isiwe kinyume chake yaani kwamba Wahindi na Waarabu kwa kuwa ndio wachache wawe wanalalamika kubaguliwa na sisi?
Je ya kulaumu Hapo ni IQ yetu ndogo?

Kwa maana Dunia nzima wachache ndio hulia kubaguliwa na wengi, pia wageni ndio hulazimika kukubalika na wenyeji lkn kwetu ni kinyume sisi ndio tunalazimisha kukubaliwa na Wahindi, waarabu Wazungu, Wachina n.k sasa Kwa nini?

Yaani kwa nini sisi SIYO Wabaguzi?

Hii mada yako ni ya hovyo kwasababu zifuatazo

Kwanza hujasaema hao Waafrica unaowasemea wewe ni wakina nani
Kama ni waafrica kwa sababu wanaishi africa unawaweka kwenye kundilako hata wale wenye asili ya asia

Pili kama unawachukulia Waafrika ni wale wenye ngozi nyeusi hii ina maana kuwa unawazungumzia hadi black America hadi hapa tayari umesha fail

Sidhani kama nina haja ya kuendelea kuuelezea ubaguzi wa watu weusi [sio waafrica kama unavyodai wewe [kama hii ndio iliyokuwa shabaha yako]
 
Ngozi nyeusi au tuseme waafrika wengi tunaishi katika mazingira ambayo hatuna hakika ya kesho itakuwaje ukiweka pembeni masuala ya kiimani (Kwamba Mungu ndo anajua kesho ya mtu) hivyo hatuwezi kuwa wabaguzi after all hata maisha ya kawaida tuliyonayo ni yakubangaiza ndo maana tunakuwa wapole kuogopa fedheha inayoweza kutukumba iwapo tutaharibikiwa au kumdhihaki mtu, tofauti na watu weupe ambao wengi wao kwao future is certain kwa hiyo wanaishi kwa principle sio longo longo.
 
Kuna point ulitaka kuiongea sema umeimiss,
kuna uhusiano kati ya Ubaguzi/Umimi /usisi / Ubinafsi au Greed.

Na katika sifa chanya za Greed ni kuwa hupenda kujikusanyia, na kujitajirisha.

Hivyo siyo IQ ya wabaguzi ilowaletea maendeleo,(sababu kuna watu ambao siyo wabaguzi Na wameendelea zaid yao ,na kuna wabaguzi ambao wapo dolo) bali Ni hiyo hulka ya kutaka kuwabagua wengine, na kujiona bora zaid ndo iliyowasukuma wao kutafuta mbinu mbalimbali za kuthibitisha kuwa wao ni bora.

kwa kuongezea, hakuna makabila mabaguzi Tz kama haya: -
wachagga
wahaya
wanyakusya. na wote hawa kwa kule kutaka kuprove kuwa wao ni bora wamejikuta wakifight sana na mwisho wanatak over kweli coz wanafight.

kwa mataifa ndo hivyo, wachina, waholanzi, wahindi ,warusi ni wabaguzi sana .

Mwisho hivi mtoto wa bhakresa au Abood anaweza kuja kuwa rais Wa TZ?? jibu ni hapana, atabaguliwa Kwa uarabu wake, ataishia ubunge, lakin Wamarekan walimpa urais mtu ambaye ukoo wake wote wapo Kenya.Hii inaprove kuwa Watz ni wabaguzi kuliko Americans
 
Naunga mkono hoja kwa ushahidi Watu wabaguzi wakubwa duniani ni wayahudi na inasemekana ndio watu wenye IQ kubwa sana. Nitaleta ushahid mwengne badae.
 
my friend,I.Q is either in-born or influenced by the environment.Scientists have proved that 80% of I.Q is inborn,hence a small part is environmentally instigated.Indians have high I.Q,no.Arabs have high I.Q no.Arabs were foolish people,even when oil was dripping freely in the Gulf,they had no idea what it was,until the Europeans arrived.Africans have a much higher I.Q especially in fashion,music and emotional intelligence.
 
nimejitahidi kukuelewa na ninachoona kuna watu wanajilazimisha kutokukuelewa ...
sidhani kama shida ni IQ kwa maana kipimo chake sio hiko
ila lazima tukubali kuwa hoja yako japo ina mapungufu , ni ya muhimu na ni lazima watu tujiulize hapa nini hakiko sawa
tunadhani kuwa tuna nyoyo safi sana .... fikra zetu pia zimepotoshwa kwa kiasi kikubwa ...mada yako kwangu mimi ina mantiki lakini si kwa waafrika tu ujerumani , urusi wao kwa wao wanabaguana - je hapo pia ni IQ???
 
Waafrica ni wabaguzi sana tena wa chuki na kibaya wanabaguana wenyewe kwa wenyewe.
Kidini
Kikabila
Kiuchumi nk.

Na Africa kubaguana wenyewe kwa wenyewe na kujipendekeza kwa race nyingine ni sababu ya umasikini.
Na umasikini ni kielelezo cha kukosa akili au IQ kama ulivyosema hivyo mtu huyo kushindwa kuchanganua na kutatua changamoto zinazokuzunguka.

Umewahi ona tajiri anajipendekeza kwa masikini?..
unaweza kumjeuria mtu anayekupa ugali huku?
Ushawahi ona mtu tegemezi akimbagua/kumjeuria anaye mtegemea?

Ila masikini ndo wa kwanza kujipendekeza kwa tajiri/aliyemzidi sababu ya umasikini wake.
Na tajiri atambagua masikini akipenda sababu anajua hatomfanya chochote na anajua bila ya yeye huyo masikini si kitu.

Ili sisi tubague race nyingine ni lazima tujitegemee kwa kuondoa umasikini Africa, tuzalishe vya kwetu nk.
 
Back
Top Bottom