Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,792
- 1,749
Hivi IQ inapimwa na kipimo gani?
Je! Standard zilizowekwa kwenye hicho kipimo kaweka Nani?
Accuracy ya hicho kipimo ni asilimia ngapi?
Maana ninavyojua hakuna machine yenye accuracy ya 100%
Kingine wewe unajuaje kwamba unabaguliwa na minority hapa tz?
Maana mikoa kibao tu naona weusi wenzangu wamezaa na waarabu na wahindi au hausafiri maeneo mengi ya tz.!
Suala la kuoa kwa hao minority uliowasema wanataka pesa tu,,uwe na kipato Cha uhakika na sio kapuku,,kwa hio tafautisha Kati ya inferioty complex inayotokana na umaskini na hicho unachoita low IQ.
Hata family Bora za weusi wenzio hubagua wa kuoa kwao,,wa kukaa nao karibu na wa kushirikiana nao kinacholeta hayo yote ni kipato.Kwa hio ukiwa na kipato kikubwa naamini hata mtizamo wako utabadilika.
Mwafrika ana IQ isiopimika na machine uchwara.Labda aje allien na machine zenye standard zao.