Nasikitika, maana naona mtu uliyereta utetezi kama ni kijana mwenzangu, ambaye hata kama umetumwa na makamba ufanye hivyo,basi wewe tahaluma yako uitendei haki hata kama unatahaluma ya sayansi kimu, hisikufanye kuwa kasuku wa wanansiasa ambao wanatuma kama Makamaba, nataka niseme wazi katika sakata hili inatakiwa iundwe tume mahalumu nipo tayari kujitolea, lazma kuna jambo hapa.
Mwitaliano ana akili sana au niseme ame-apply mbinu za kimafia. Hii imekuwa kama ransom - teka mtu unayemdai, tena mwanasiasa maarufu, kwa kudai zawadi uliyotoa kwa vile ulikuwa ukipata p...ch ya dada mtu lakini ukatemwa. Serikali inatetemeka na kukulipa 'haki yako' maana hii ilikuwa ni aibu kwa serikali. Unaambiwa kanusha. Hana cha kupoteza, amepata chake na mwanasiasa aliyetekwa sasa yuko huru.
Huyu mzungu naye mshenzi tu, asitufanye Watanzania ni wapumbavu.
Kwani hayo mawasiliano huyo Mange kayatoa wapi?!!
Watajuana wenyewe!
Kwani aliyewaambia kuwa kuna press ni Muitaliano? Manyumbu mtakufa kwa presha kwa kuwa kila kitu siku hizi mnazusha kuanzia tuhuma hadi press mmejitungia tu na hayo yote ni kukosa jambo la kuongea siku hizi dhidi ya serikali kwani Rais Jpm kawaziba kabisa midomo yenu.Huyo kapewa agizo tu!
Nakumbuka niliwaambia hapa msije kushangaa hata hiyo press confrerence inafutwa.
MIMI NILIKUWA NASUBIRI SANA KUONA HAYO MAAJABU YA RAIA WA KIGENI, TENA "MZUNGU" , AKIITISHA PRESS CONFERENCE HAPA HAPA NCHINI KUMSEMA WAZIRI, TENA, WA CCM.! NILIAMINI ATAELEWA HATA KWA DALILI TU NA HATOTHUBUTU KUONGEA!Huyo kapewa agizo tu!
Nakumbuka niliwaambia hapa msije kushangaa hata hiyo press confrerence inafutwa.
na kuongeza kuwa hakuwahi kutoa kiasi chochote cha pesa kwa January wala .
Makamba amekubali alipokea hela kutoka kwa huyu jamaa kama msaada wa jimbo na zikaingia kwenye account binafsi ya makamba. Na Prof. Tibaijuka alisema alipokea hela za msaada wa kusaidia shule yake na zikawekwa kwenye account binafsi. Kunafouti gani kati ya January na Prof Tibaijuka?Una facts za ziada mkuu uweke?
Duh! Aya bhana.Ata
Atakwambia hizo records zimetengenezwa tu, sio za kweli na Inaishia hapo!
waswahili wabaya sana, wao hawana jema, sasa leo mzungu kawaumbua, wale waliokuwa mishipa imewatoka wapo wapi sasa?.
muogopeni mungu. January Fanya kazi, achana na wajanja wajanja hawa.
asante sana mkuu .Hivi kuna tofauti ya Zitto na Makamba? Hata aliyeleta uzi ni Mchange! Unakanusha nini wakati Makamba amekiri kupokea fedha na kumuunganisha na Waziri wa uchukuzi?